Have u eva asked urself as to why people decide to go for plastic surgery? Well every one wants to feel atractive. We need to be sure that we are presentable. But some people do lack a sense of...
Mulobwike bhandu bhosa?
Heri ya mwaka mpya?
I wish ya'll happy new year.
Jamani huku uswahilini kwetu hakupungukiwi viroja.
Kuna jirani yangu ameoa, ila anakwaa ukweni, yaani nyumbani kwa mama wa...
June 23, 2011 - 10:06AM
Overweight women, are less successful than their slimmer peers, according to recent university research that blames a lack of education, rather than workplace...
Hii nimeisikia leo Radio flani tanga:
Kuna njemba moja alioa msichana mmoja mzuri tu, huyu dada mama yake alikuwa RPC(Mkubwa wa Polisi), ndoa yao ilifana sana. Baada ya miezi michache matatizo...
Mimi Magulumagu.....
Sina post ya maana kwa sasa, je nimefulia, sina sera, ni mpenzi wa JF how usiniulize...Siipendi CCM kivipi usitake nitapike....Nawachukia rais wetu Kikwete maana muongo na...
Hivi kwa nini mabinti/wanawake/madada wasioolewa wanapenda kudate na waume za watu. Ni fashion, au waume za watu ni watamu. yaani mabinti sasa wamekuwa kero kwangu. Msaada tafadhali.
Kuwaorodhesha wanawake ulio tembea nao, tena unafanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii huku ukiwataja kwa majina yao halisi na majina ya ukoo. Unayefanya hivi ni baba mtu mzima mwenye mke na...
Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama...
habari zenu wana jamvi.mimi nipo ughaibuni huku nasoma,sasa kuna msichana mmoja tuna uhusiano wa karibu miezi kumi sasa.kabla yangu mimi huyu msichana kashawahi kuwa na relationships mbili,wa...
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara ...
Mimi nilikuwa ktk mahusiano na na mtu kwa muda wa miaka 3,ila ktk miaka hiyo nimekuwa na matukio mengi hasa katika swala la mahusiano mwenzangu aliwahi kuwa katika mahusiano zaidi yangu! Kwanza...
Tulikua na kijana wa kazi kutoka iringa,tuliishinae kwa takribani miezi kumi na tatu lakini alikuja kudhihirisha tabia zake za ulevi kupita kiasi,kiasi cha kusahau majukumu yake.mwisho wa siku...
Habari zenu wapendwa wa mmu, ningependa mnipe ushauri kwa kilichonikuta mwenzenu, nina girlfriend wangu ambaye uhusiano we2 una mwezi1 sasa, ashawahi kuniambia kuwa aliachana na ex boy wake...
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa...
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24 nafanya kazi ktk ofisi ya Serikali nisingependa kuitaja kwa usalama wangu. Nimekuwa nikisumbuliwa na bosi wangu wa kike aliyenizidi miaka 9 kiumri na...
Naomba kuuliza wajameni, mtoto wa kike ukiwa na mahusiano na mtu unampenda kwa moyo wako wote, ukamficha baadhi ya mali zako ni sahihi kuwa unampenda au unajidanganya tu na nafsi yako? Mali hizo...
Matatani kwa wizi katika nyumba ya kulala wageni
Monday, June 20, 2011 4:20 PM
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson[ 22] mkaazi wa Manzese, amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.