Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jambo JF! Kwa wakati wa mwanzo ilionekana simu hasa hizi mob.... kua zinachangia kwenye uhalifu mwingi kwa watu wasio waaminifu. Sasa jamaa yangu ananieleza kua hiyo siku alipokea sim ya dada...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Wana Jf habare za wiki end ninaomba msaada wetu tafaradh mana leo hasubuh hasubuh nimepokea simu ya mshikaji wangu au best yangu akiniuliza eti hajafanya makosa kufanyanae mapenz mke wake bila...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Helo br's n sis's naomba mnisaidie huyu mtu mtamsaidiaje anapogundua mtoto alielea baada ya ,miaka 15 si wake?? Msaada tafadhali vigezo na masharti kuzingatiwa kwenye majibu weekend njema
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka jana nilikuwa Turkey katika chuo kikuu cha Istanbul,profesa mmoja anaitwa Majid Shafy alinifundisha kupika mchicha kwa tangawizi,kuwa ni noma kuliko viagra,na ni lishe ya kuipata mara moja...
0 Reactions
98 Replies
69K Views
Jamani kuna kitu kinanishangaza utakuta mwanamke ameolewa na mume wake anao uwezo kawaida ila saa ya lunch anaomba omba vioffer ivi wanaume mnashindwa kuwapa wake zenu ela ya lunch? Mi na wish...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Ndugu wapendwa tukielekea weekend si haba kujulishana tusinywe na kuendesha gari na kama yawezekana wala akuna haja ya kunywa pombe ushindwe kuendesha gari majuzi nilijiuliza kama kuna watu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
watu wengi nikiwauliza kuhusu kujenga huusiano kwenye cm kama inawezekana,wanajibu ndio,je na nyinyi washilika wenzangu mnaionaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Like no other, was your kiss Your tender touch of your lips The sensual sounds of your whispers The passionate feel of your embraces So I long for you, like no other! Like no other, was your...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu wana jf, ni zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako au mume/mke wako anaposafiri safari ya muda mrefu kidogo, kuanzia mwezi mmoja mpaka sita? Au ni zawadi gani nzuri upewe wewe unapo safari...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Poleni na maisha ya kuishi bila umeme wakuu!ebana me cjui nikoje,yan nkimtongoza demu 2 akinambia nimpe tym akafikirie,bac ntaanza kujipendekeza kwa kumrushia vocha,na kumuonyesha namjal kinafiki...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha...
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Ukiona mtu anapiga desa (anaibia kwenye mtihani) mchongee, maana huyu kauzu atakuja kupata kazi ya maana kuliko wewe wakati darasani alikuwa kilaza tu. Ukimuona mgeni anaishi mtaani kwetu katoka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani Madadiito na Mamito. Lets Plan a Get together This weekend for all the Dar Members. Najua issue ya usama wa taifa kutukusanya kama kuku lakini msijali. It will be difficult to trace who...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Nakumbuka enzi zile ilikuwa inatokea sakata la kura kupigwa kwa kila mwanafunzi kutaja nani anatoka na nani hapo shuleni, balaa linakuwa kwa wale watakaoangukiwa na kura hizo
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani kuna kisanga kimetokea leo. Dada mmoja amekwenda kumtembelea mpenziwe baada ya kutoka chuoni (yuko likizo) na ktk kupitiapitia DVD'S zilizokuwa ktk shelf sebulen kwa mpenzie, mojawapo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Usione watu wanaishi kwa furaha wako ndani ya yesu wanakula utamu wa yesu ...aijalishi unashida gani ukiwa unakula utamu wa yesu wala akuna kinachoshindikana,,ndugu mpendwampenzi nimeona mungu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wangu mpendwa! Nimekuwa nikiandamwa na msongo wa mawazo siku za karibuni kwa kuwa sasa nadhani nimefikia mwisho sina budi kukueleza aina ya mume uliyekubali kuwa naye hadi mungu atakapo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika...
0 Reactions
273 Replies
16K Views
TODAY we, have bigger houses but small families… More degrees but less common Sense.. Advanced Medicines But Poor Health... Touched Moon But No Contact With Neighbor… High Income But Less Peace Of...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom