Great thinkers.
Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu.
Mke wangu ana tatizo...
Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo
katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni...
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule...
When little Dante is old enough, his parents will sit him down and ­explain that ­"Mummy couldn't have babies... so daddy did it for her."
That's because this cute toddler was born into...
Juzi nilishuhudia braza akiambiwa na mkewe kuwa ana roho mbaya kwa sababu ambazo sijui hasa chanzo chake nini. Mambo yalianzia room kwao na baadae ikawa ugomvi hadharani.
Kwa kweli walirushiana...
Jamani hili neno ndugu lawama kila mtu anaweza kulitafsiri kivyake lakini kwa mimi ni wale ndugu ambao hawaridhiki hawataki kufanya kazi wao kutwa kucha ni kulalamika tu na kufuatilia mienendo...
Kila kabila lina utamaduni na utaratibu wake kuhusiana na mahusiano ya wakwe. Kwa mfano, makabila mengine wakwe hawawezi kutamazana au hata kuwepo mahali pamoja. Makabila mengine kule kwenda...
Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa...
Heshima kwenu wakubwa.kuna rafiki yangu mkaazi wa hapa kibaha anaishi na mama yake mzazi,baba yake mzazi alitangulia mbele za haki miaka 10 iliyopita.Jamaa ni kiwembe kuliko na mpiga maji kama...
Habari wana JF
Nimekuwa nikijiuliza kwa namna fulani suala la uchaguzi wa jina la mtoto.
Mfano, mmezaa mtoto na mpenzi wako.
Wakati wa kupendekeza jina kwa mtoto, mpenzi wako akawa anasisitiza...
Mpwa wangu (mtoto wa dada yangu) amenifuata asubuhi hii akilalamika ana miezi miwili hatafaidi ndoa yake. Kila aombapo mchezo mkewe humwambia amekatazwa na mwalimu wake wa mazoezi ya viungo...
Dada yenu mkubwa ndani ya familia kabahatika kwenda kusoma USA, na akiwa mwaka wa mwisho wa masoma yake
anawaletea barua wazazi wake.
Nanyi pia mnabahatika kuiona barua hiyo inayoeleza ya kuwa...
habar zenu wapendwa wangu wa hili jamvi tamu la jf, matumain mpo poa mi pia niko bomba niliwakumbuka sana
Issue ni kuwa kuna jambo huwa linanitatiza kidogo hapa kuwa mapenz huwa yanahitaji nn...
Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO.
Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa.
Je tumsaidieje...
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.