Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.
Heshima wakuu, nikiwa mtoto wa mwisho na mvulana pekee katika familia hii nimekuwa sina mahusiano mazuri na huyu dada yangu wa kwanza. Yeye hana matatizo nami, ila mimi nikiwa nae nakosa amani...
watu wengi wanasema hasa jinsia ya kike,eti kumwambia mpz wako nakupenda kwa kila wakati ni vibaya kwasabu eti unampa kichwa na kujionesha kuwa unampenda sana.je ipo sawa?
Alizwa Pesa na Hawara, Arudi Kwa Mkewe Kuomba Radhi
Tuesday, July 26, 2011 6:09 PM
HASSAN ABDUL [39] mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, amemuangukia mke wake kwa kutembea kwa kutumia magoti...
Hiki ninachoandika hapa ni kisa cha kweli kilichotokea hivi karibuni. Umeoa na ndoa yako ina miaka miwili hivi na mnatarajia kupata mtoto (mkeo mjamzito) na kwa mila zetu za kiafrika mama wa mume...
Hey guyz l nid ur help coz am comfused l dnt knw hw can l turn back my trust to believe girlz? I thnk zis is tha cycological prbm 2 me.and anaza thng is why zis gals ar like zis? Are they after...
@ARUSHA, baba mngoni , mama mchagga
Kuchoma maziwa ni namna ya kiasili hasa West AFRICA
the goal is to make mdada/binti less desirable to boys -- and stave off pregnancy
Chuma (iron rod) au jiwe...
Unajua mapenzi sio lazima mpaka ufike nyumban upewe maji ya moto la haasha kuna wengine tuna mapenzi na bunge letu
na kila siku tunatamani kuona mungu wakifanya kitu fulan kwa ajili ya taifa...
Before ulikuwa na kiasi lakini umeenda ahospitali hivi karibuni wanasema ni zero kabisa,,,sikujui hunijui lakini mungu ndie anajua hajaya moyo wako..mkeo anakaribia kukukimbia na ndugu wamekucheka...
Najua watu wanakutana wa wenza wa maisha yao katika mazingira tofauti. Kwa mimi ilikuwa hivi;
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nasoma kwenye gazeti la majira majina ya wanafunzi waliochaguliwa...
Dear wanandoa
kumekuwa na matatizo mengi tunayapata kwenye ndoa za watu wakati wa kurekebisha matatizo yanapotokea
sasa kama mjuavyo mwenzenu nikiona kakuwamegea wala siitaji voda pesa mnitumie...
Wanajukwaa nawasalimu wote kwa heshima na taadhima. Mimi Ninaishi kwenye nyumba ya kupanga mahali fulani na baba na mama mwenye nyumba wanaishi hapo hapo. Sasa huyu baba mwenye nyumba anatabia ya...
Jamaa mmoja aliamua kujitoma pale IFM kutafuta totoz kwa staili ya aina yake pale alipoamkabidhi business cards zake mmoja wa wauza vioski nje ya geti opposite na wizara ya afya huku akimpa...
R.I.P Farida
Sitaki niamini kuwa mmeo alikuwa hakupi matunzo ya kutosha mpaka ukarubuniwa na mwarabu wa dubai.
Kwa kweli inasikitisha sana Farida kwenda kumvulia nguo huyu mwarabu Guest ya Mkuzu...
za leo wanajf. mi napenda kujua kidogo kuhusiana na social life ya wanawake na wanaume wa kisukuma na wanyamwezi.kwa yeyote mwenye details karibu kuchangia.
wewe au ndugu yako ana matatizo katika mahusiano, matatizo ya kimaisha, au ya kisaikolojia?? kutana na wataalamu wa matatizo ya kisaikolojia, washauri na wataalamu wa matatizo za...
Mama achoshwa ! atoa radhi hadharani
Monday, June 20, 2011 4:22 PM
KATIKA hali ambayo iliwaacha watu wengi wakiwa hawaamini macho yao mwanamke mmoja [51] amejikuta akisaula nguo zake zote na...
jamani nahisi nilizaliwa nina matatizo ya kimaumbile,sifiki kileleni -inorgasmic. in the past nishawahi kuwa na mahusiano ila baada ya kugundua hali yangu tukaachana,najiuliza niseme kama nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.