Ni maneno mawili ambayo mara nyingi hutolewa na mtu anapokosea,
Tuzungumzie kwenye mapenzi
Unapokuta labda gf/bf/mume/mke wako anafanya kosa akakuomba msamaha unaweza kujisikia amani kwa kuwa...
Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit...
Hili swali nimejiuliza siku nyingi sana ingawa soln yake ninayo kuna jamaa yangu jana mchana alikuwa amevaa kofia nikamuuliza vipi kunani
umevaa kofia leo akadai ntakwambia baada ya watu kupungua...
Tunajiuliza siku zote ni kwa nini penzi linapoingia mahali huweza kuharibu kila kitu? Tumekuwa na misemo yetu ya siku nyingi kama siyo ya asili, kama vile ule wa ‘penzi ni ulevi' au...
Jifunze namna ya kuwavumilia wengine!
Ukianza kutazama tabia na matendo ya watu ambao unakutana nao kwenye maisha yako ya kila siku kwa kujiuliza kile unachojifunza kutoka kwao utajikuta unaanza...
Habari za asubuhi wapendwa (Kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
Habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
Natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi...
habari zenu wanajf
hivi kwa nini wanaume na wanawake tunakuwa wahongo kwenye mahusiano japo sio wote ila wengi wetu.
kama tungekuwa wawazi kwenye mahusiano yetu nadhani hii dunia ingekuwa kama...
Tukusuma Mpoki alikuwa amesimama kwenye baraza la nyumba yake, uso wake ukiwa umekunja ndita, jasho likimtiririka, na macho yake yakiwa yanabubujikwa na machozi. Alikuwa amejifunga kanga moja tu...
Wanaume mpooo.... Kuna warembo wanajitahid kwa uwezo waliopewa na MUUMBA wao.. kuweka pozi nzuri,wanaonyesha vizuuri miili yao,sehemu zao ambao wao wanahisi zina mvuto.. ktk miili yao.. Jaman...
Wapendwa marafiki zangu Nimempoteza kaka yangu mpendwa aliyefariki jana Hospital ya RC.Tunduma mbaye ni wa pekee kwenye familia yetu David Mwampashi najiandaa kuondoka kesho asubuhi kwenda Mbozi...
Jamani eeh kuna kibinti NAKIPENDA sana na kwangu kina sifa za kuwa mke bora kabisa. Sasa tabu ni kwamba
1. Kuna wakati nlikuwa karibu sana na dada yake so anahisi nlimdate dada yake na sasa...
Kuna wazazi ambao pengine kwa kutofahamu hupenda kutamka maneno kama haya mbele ya watoto, ‘bila fedha dunia hii nani atakujua, ni nani atakuthamini,' watoto waliolelewa wakiyasikia maneno...
Kuna dhana kwamba wanawake walioajiriwa wanakabiliwa na mazingira ambayo yanawalazimisha kuingia kwenye vitendo vya kutoka nje ya ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ambao hawajaajiriwa hususani...
Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao ana sauti kuliko mwanaume(mumewe) na wanandugu wakaligundua hilo(hasa wa upande wa mume) huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara sio...
Wadau nimetoswa na bintii niliyempenda na bado nampenda kwa sababu ya wasiwasi wake kwangu kwamba siku moja nikimkataa ataumia sana.
Huyu binti nilimtokea na mazungumzo yalienda vizuri,na...
Wapendwa
Natumaini wote mlikuwa na weekend njema.
Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu...
Habari ya Ijumaa wana JF, naomba tujuzane, ukikuta wallet ya Mr ina business card ya massage clinic wakati haujamsikia ata sikumoja km alienda massage inakuwa imekaa vp hii? na vp ukiikuta katk...
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo....
Akikushushia heshima kwa namna hii:
"Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!"
Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.