Katika kuoa kuna kuoa kwa aina tatu
1 kijana anaona ana majukumu mengi ya kazi anaona anahitaji msaidizi km akute chakula kufuliwa nk
2 tamaa yaani wenzake wote wameoa anawafuata na pia tamaa ya...
kwa kautafiti kangu nimebaini watu ambao wanaongoza kwa kupendwa na baadhi ya wanawake ni wakongo na baadhi ya wanawake hudai jamaa wanajituma sana ndani ya kuta nne! Lakini pia wanaofuatia kwa...
Habari zenu wapenzi wangu wote wa MMU??
Hili jambo nimelifikiria kwa muda mrefu, na kila siku nazidi kulifikiria ila nakosa jibu. Watu wengi wanapokuwa kwenye mahusiano eg wapenzi, inapotokea...
Hello Jf members, my name is Karen my Brotheris John Madiba. i need u advice in advance.
I am desperately in need of counselling as I have been living a complicated life and I do not know what to...
katika jamii za kale ilikuwa ni kitu cha ajabu kusikia neno shoga au kusikia eti dume jogoo hawiki! Au eti nikianza kulima jembe linaishiwa nguvu! Na wengine hadi shamba huliandaa kulilima hawezi...
Haka ka-swali nimekutananako sehemu watu wakijadiriana na mabishano makubwa niakondoka bila kuapata majibu kwani mabishano yalizidi majibu, na kamuda kangu kuwepo hapo kalikuwa kameisha sasa...
Nikiwa maeneo ya kimara_resort jana usiku nilijikuta nashuhudia vurumai moja matata.Mwanamke mmoja anayesadikika kula na shemeji yake alafu pia kukimbiwa na mumewe na kukimbilia Marekani alizua...
....wana roho mbaya sana!!Wanamfanya mtu aamini ni marafiki wa kweli....wanaaminiwa na kuTREATwa kwa heshima na mapenzi kama marafiki alafu wanageuka na kumfanyia mwenzao kitu ambacho rafiki...
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka...
NDOA ni shida tupu�sioni kama kuna umuhimu wa kuoa au kuolewa,� ndivyo wengi wanavyojisemea. Hayo ni mawazo ambayo wengi siku hizi wanayakuza.
Ni kweli ndoa zina matatizo, kama...
Don't worry about the calories in those Valentine's Day chocolates – a proper celebration in the bedroom can help keep you in shape.
In fact, sex can benefit your health in many ways. Here...
Wadau naombeni mnijuze kwa hili.
Unapokuwa kwenye serious relationship means unaishi na mwanamke au umeoa.Je bill zote na gharama zote i mean outing,hospital,rent,shelter,cloth,saloon,fees and...
fall in love with your destination(know exit strategy than entry strategy)
halelluya haleluya namshukuru mungu kwa ktupa siku nyingine tena tuweze kupeana neno la mungu na kulishana kiroho...
Jamani nilikuwa nasikiliza BBC sasa hivi nimecheka sana. Nchini Burundi akina mama na kina baba walikuwa wanahojiwa kuhusu mwanamke kutibiwa na daktari wa kiume hasa wakati wa ujauzito.
Akina...
Ndugu zangu wanaJF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 sasa,ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini,nimekuwa kwenye uhusiano na mabinti tofauti tofauti tangu nilipokuwa form2,tatzo...
Hi wapendwa wangu za jumapili, nimekuja leo naomba ushauri kwa hili linalonisibu, nina partner wangu tuko nae muda kidogo, nampenda na yeye ananipenda na kunijali sana, kuna hali imejitokeza...
Wengine wanaenda kuoa vijini, wengine hawataki wa vijijini wanataka wa hapahapa mjini, wanasema wakioa wa vijijini wakifika mjini wanazibuka na kuyalimbukia maisha.
Jamani kati ya wa bush na wa...
Mara nyingi nimekuwa nikisoma matangazo kwenye magazeti fulanifulani nakutana na tangazo linalohusu dawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile kwa wanaume.Je hizi habari ni za kweli na kuna mahusiano...