Habari wakuu, hivi wasichana wenzangu mshaona hii , unamwandikia email, au sms, au barua ndeeefu mpenzi wako halafu yeye anajibu maneno mawili, matatu..... mie binafsi naona hii wanaoathirika...
Wanaongoza kwa kusoma magazeti ya udaku, wanaongoza kwa kupenda kuangalia ze komedi, futuhi, majuto nk. Wanamshangaa mtu anayenunua na kusoma raia mwema, rai, mwanahalisi, mwananchi nk...
Source: WAPO FM RADIO
Leo tena asubuhi katika kipindi cha PATAPATA, imetoka mpya tokea Kiteto kule Manyara. Mzee mmoja alioa na kubahatika binti mmoja na kijana wa kiume mmoja kwenye miaka 14...
1. women speak in paragraphs BUT Men speak in sentences.
2. Women can smell dirty socks at 100ft BUT Men have to hold them to their nose.
3. Women think that a better place to place a remote...
Wakubwa zenu heshima ni muda mrefu sikuwepo jamvini naleoo hii nimerudi. na mshukuru mungu kwa kuwapa afia njema na amani na nawapa pole wote waliopatwa na udhuru za hali yoyote mungu ata wajalia...
Habari
Naomba msaada juu ya HILI.
Eti mfano wewe umehangaika kupata mtoto muda mrefu sana na hatimaye.. mungu ameamua kukupa mtoto ila akakwambia uchague kati ya haya
1)Akupe mtoto mwema...
Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao...
habari wana jamii forms, napenda mawazo yenu na michango mnayotoa humu,,mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
naomba msaada jamn,nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto...
Ndugu,
Mimi nimeoa na nina watoto. Nimekuwa nikisikia mara kwa mara kutoka kwa wake wa kaka zangu wanashitakia kwangu kuwa kaka zangu hawafahamishi wake zao juu ya mali zote wanazomilki, deals...
WanaMMU-JF..........habari za weekend?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba...
Katika pitapita yangu ndani ya nets nimekutana na habari hii inayoelezea chanzo cha E. Coli contamination of Cucumber kama ilivyoripotiwa na netgroups huko China. Katika page moja jamaa ameandika...
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara "nina kidumu" au mdada anajisifia "kidumu chake" kiko hivi au vile. Mwanzoni nilifikiria wanazungumzia vile ambavyo si "galoni". Lakini siku za karibuni vidumu...
Wana JF, Kwa nini mwanaume akiwa na wanawake wawili au watatu anaishi nao kinyumba si tatizo, lakini mwanamke akiishi na wanaume wawili kinyumba ni tatizo kubwa?
umetoka zako kazini, umeingia ndani umekuta laptop ya mkeo ipo on. unaona ngoja niingie JF one time. unaingia unakuta mkeo hajalog out hapo kweney JF kuangalia profile yake salaale ni NOTFOUND.
jamaa yangu anategemea kufunga ndoa miezi ya hivi karibuni lakini hajui nini huwa kinafanyika siku za harmon zaidi ya tendo la ndoa na kama ni mazungumzo je ni mazungumzo gani yanafaa kuongewa...
Women have strengths that ameze men.......they bear hardships n they carry burdens,but they hold happiness,love n joy....they smile when they want 2 scream...they sing when they want to cry...they...
TYPES OF WIFE THEIR CHARACTER TRAITS
1 Party Wife
These are women who
· Are very mobile and very sociable
· They are always attending one function after the other (every wedding, bridal and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.