Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi utaratibu wa kupima ngoma unakuwaje? Tunaambiwa kabla hatujaoooa inabidi kupima sasa protokali inasemaje? hospitali zipi poa na je utaratibu wa kuchakachua (kama sababu zipo) ukoje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za mchana wana jamvi. Hebu sikilizeni kisa hiki, huwa nina ki-grocery changu, sasa hapa huwa nina mashoga zangu kibao, kila mtu anakuja na la kwakwe kuhusu kutendwa, mengine naona ya...
0 Reactions
105 Replies
8K Views
Jaman naombeni msaada wanaJf. Nina msichana ambaye nimempenda sana, ni muda kitambo nimekuwa nikiwasiliana naye kama rafiki yangu! Kiukweli huwa tunachat naye sana, hana kinyongo kabisa! Kuna...
1 Reactions
33 Replies
12K Views
Mdomo ni kwa ajili ya kulia chakula,pia unasaidia kutoa na kuigiza hewa,sasa pale unapotumika kwenye maadalizi ya kuamsha hisia inakwaje?mfano kuswaki na uchimbaji madini. Ina maana viungo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Jamani ivi ilo tatizo linasababishwa na nini? Nawasilisha.
0 Reactions
69 Replies
12K Views
GB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 26,nimekuwa kwenye uchumba kwa muda wa mwaka sasa.Niliamua kumpenda huyu bibie pamoja na kuwahi kuumizwa na bwana mwingine kiasi cha kumharibia maisha hilo...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini wana JF, Tar.17.05.2002 Nilifiwa na mchumba wangu kipenzi. Toka wakati huo mpaka kufikia 05/06/2011 Nimekuwa mwoga wa kwenda kucheki Afya. Mwaka jana nilikimbia majibu yangu pale kituo...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Yaana kinachonishangaza, kila unayeongea naye, anasema mwaka wa tatu usiishe kabla cjapata mke/mme, sasa nashindwa kuelewa hv huko mtaan hamna wachumba, au ndio vyuoni kumegeuka kuwa INDUSTRY 4...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
"Let just be a friend"maana yake utapendwa baadaye au ndo uwe mshika pembe
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi wana jamvi, mi mwenzenu nina tatizo kidogo naombeni mchango wenu wa mawazo. Ni binti, mtoto wa marehem shangazi tumeishi naye toka mdogo tulipendana sana na hatukuwai kumbagua. ivi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenzenu nilitamani, gari kulisafiria Laonyesha la thamani, kwa nje na ndani pia Kiumbo li wastani, mfano wa gari KIA Gari hili gari gani, najuta kulipandia Gari hili lavutia, kwa hilo...
11 Reactions
127 Replies
10K Views
In addition to its ability to cheer you up in times of need, porn has some useful lessons to impart to its viewers. On the other hand, some of these are hideous faux pas that every man should...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Love in the heart was not meant there to stay. Love is not love till you give it away". For love to be ever lasting and eternal every one should be aware of the different stages of love and know...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Jamani tangu nikiwa mtoto naogopa sana kula pilipili. Wiki iliyopita nimepata mdada na kuanzia jana hadi leo niko nae uchi tukidunguana bila mpira. Dada huyu ananiambia niweke pilipili mdomoni...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Utafiti uliofanyika mwaka jana unaonyesha kuwa asilimia 54 ya wanawake wa Tanzania wanaamini kuwa mume anayo haki ya kumpiga mkewe. Asilimia 38 tuu ya wanaume wanaamini hivyo. Uhalali wa mume...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Je akupendae (mumeo/mchumba/mvulana) anakuitaje??? Nimepata hii sms nikaona ngoja niirushe hapa maana imenichekesha kidogo: 1. Honey= Kimeo 2. Dear = Wakuzugia 3. Sweet = Mshamba 4. My Love=...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kanga zina mambo mengi, zina mengi hizo kanga, Kanga zinaficha vingi, vinavyofichwa na kanga, Kanga zina siri nyingi, zina siri hizo kanga, Kanga unapoachiwa, ana penzi mwenye kanga! Kanga...
2 Reactions
60 Replies
16K Views
wapendwa wanablog, naomba msaada wenu, Kuna shost yangu kakutwa na jambo hili wadau mnashaurije? Huyu shost wangu alikuwa na jamaa yake, but with time, penzi lao likawa linayoyoma. Jamaa yake...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Huu msemo "mwanamke nyonga" una maana gani ndugu ? Je ni fumbo au lugha fasaha? je kwa mwanaume inakuwaje? Tusaidiane kueleweshana!
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Back
Top Bottom