Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete; 1.kabati ya mbeho 2.pick up ya mala 3.radio ya picha 4.kitanda cha kamba. hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Naked City na Ikungulyabashashi ni Location tha magreat thinker wawili humu JF, nao ni Eqlypz na Nyani Ngabu.... Naweza nikasema kwa muda ambao nimekuwa nikiperuzi humu Jamvini, nimekuwa...
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Nini tofouti ya Mapenzi na Upenzi?
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Habarini Wana Jamii wote. Napenda kupata maoni yenu kutokana na uzoefu ama uelewa juu ya jambo hili:- Je ni sehemu gani nzuri kwa hapa Dar es Salaam ya kufanyia vikao vya Harusi au send-off kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu wote, hivi napenda kuwauliza wale walioko kwenye ndoa kuna wakati unajiuliza hili swali?? na badae unapata majibu yake?? na badae unajua kwa nini ulijiuliza?? Binafsi katika...
13 Reactions
127 Replies
8K Views
A man who surrenders when he's WRONG, is HONEST. A man who surrenders when he's NOT SURE, is WISE. A man who surrenders when he's RIGHT, is a HUSBAND :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::A...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwenzenu ni mwezi wa 7 sasa toka shemeji yenu na mimi tulipositisha mahusiano yetu ya awali. Ktk kipind hcho cjapata mpenz mpya wala kushiriki tendo la ndoa na mwanamke yoyote. Hapa nilipo nina...
0 Reactions
88 Replies
6K Views
Baada ya kusikia malalamiko kuhusu hili mara kadhaa nje na ndani ya JF naomba niwaulize nyie wakaka...wababa na waume watarajiwa kwa baadhi yetu(lolzzzz) je ni kweli hamtaki/penda tunapovaa...
1 Reactions
81 Replies
6K Views
habari za usiku wapendwa? Mi naomba nipate kujua hv haya majina ya kike yote ninayo yaona ni kwamba watu hao wamesha wahiwa au? Maana m2 unatangaza unatafuta mpenzi hawajitokezi n'go wanabaki...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu Jf, Naomba ushauri wenu,, ni hivi kuna msichana ambaye nimempenda na nimeshaanza kutengeneza ukaribu naye. Habari niliyoipata jioni ya leo ni kwamba rafiki yangu wa karibu amewahi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wajapani sio wabaguzi kama wachina. Na kwa wale wanaoishi au walioishi japani au waliooa wajapani wanaweza kuthibitisha hilo. Wengi wetu ktk kutembea na wanawake tofauti na wa kwetu yaani wabongo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Soldier cited for holding off up to 30 Taliban by himself Acting Sgt. Dipprasad Pun of the Royal Gurkha Rifles displays his Conspicuous Gallantry Cross. Britain's newest hero is a Nepali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele, Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Ndugu Mpendwa wasalaam;habari za huko uliko.pengine si mbaya kukumbushana mambo muhimu hasa wale walioamua kujteika kwenye Ndoa Kuna mambo mengi ya kuwa makini naona leo nianze na hili la MSINGI...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu, mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume, Akazidi kusema...................... ''Nawaambia akina...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
alimaliza masomo korea miezi sita iliyopita Ofisa mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fred Kaombwe (28), amejiua kwa kijipiga risasi kichwani baada ya kumkuta mkewe akiwa...
1 Reactions
214 Replies
53K Views
Miaka michache iliyopita nilikuwa kwenye pita pita ya mitaa za Nairobi. kutahamani mbele yangu kushoto kuna mama mmoja akaniita. sijakaa vizuri mwingine pembeni kulia nae akaniita tena kwa nguvu...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
"Whatever you give a woman, she will make greater. If you give her s*pe*rm, she'll give you a baby. If you give her a house, she'll give you a home. If you give her groceries, she'll give you a...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Oh lover, don’t you dare slow down Go longer, you can last more rounds Push harder, your almost there now So go lover, make my mother proud And when were done, I don’t wanna feel my legs And when...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
mi naitwa john 22 yz nipo dar. Natafuta mwanamke wa aina yoyote. Aliyetayari tuwasiliane katika johnekwa2@yahoo.com
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…