Kuna nywele siku hizi wanawake weusi wanazivaa kichwani wanaziita human hair, mwanamke mweusi akizivaa hizo nywele anakua kama mhindi si mhindi, mzungu si mzungu.
Mwanzo mimi nilifikiri ni...
Some people say money,some say beautfull garls!What do think?Unahangaika usiku na mchana upate hela au utoke outing na mabint wakali?(wazuri)au ni vijana mahandsome??
Ilikuwa juzi jumatatu nilipokuwa naongea na bro wangu kuhusu kuwa mpaka leo sijaoa,nikamuuliza kuhusu uaminifu wa wanawake,akaniambia nitakapo tafuta mchumba niwe makini kwani mabinti wembamba...
Wana jamii especially wapenzi wa MMU!
Jana jioni nilimtembelea shemeji maeneo ya Mbezi ya Kawe kwenye flat za BOT...
kituko nilichokiona pale kiliniacha mdomo wazi.
Shemeji analea mtoto ambae...
Nchini kenya,kuna sheria iko mbioni kuundwa.Sheria hii itamruhusu mwanamke aliye katika ndoa,ambaye mumewe amepungukiwa nguvu za kiume,kumshtaki mumewe mahakamani na hatimaye kuomba kupewa...
Juzi nilianzisha thread ikiongelea hii ishu. Wengi wakasema ni uongo. Sasa sijui ni wao ndio wanajidanganya maana naona ni ishu iliyo serious sana.
Unaweza kuipata hapa...
Home:Arusha,mama mchagga,baba mngoni.Jina Martina.
Mdada Agnes aligundulika 2010 kuwa na uambukizo unaoshambulia Anatomy ya mfumo wa uzazi.
Alichomwa sindano za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa...
Jamani...
Rafiki yangu kapatwa na sokomoko la mwaka!
Ni hvi, jamaa anasoma Chuo kikuu Arusha na ana mchumba wake ambae wamepanga kuoana miez michache ijayo!
Cha kuskitsha, mchumba wake ambae...
Ndugu wapenzi wa JF, mimi siwezi kujiita mpenzi wa taarabu. Lakini mara moja moja huwa nikikaa nikasikiliza maneno matamu yaliyo katika muziki huu. Jana wakati nasikiliza miziki ya taarabu toka...
Inachekesha, ni ngumu kuamini na inanihuzunisha kwa kisa kilichonikumba. Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa wote tangu mwaka 2007 tumekuwa tukiishi vizuri tu tena kwa uaminifu mkubwa sana. Shughuli...
AND SHE'S 32 YEAR'S OLDER THAN HER GROOM
Here I go again ... Pat ties knot with latest, Mark, 24
SERIAL bride Pat Higgins has married her NINTH husband - a toyboy 32 years...
Habari wanajamvi......leo nilikutana na swali ambalo kwa ka-biology kangu ka kibongobongo nilijibu bila kijiamini maana sina uhakika.
Nilikutana na rafiki yangu ambaye mke wake anaujauzito wa...
Hivi mke na mume ni ndugu au marafiki?
Na kama ni ndugu kwanini ndugu wafanye mapenzi?
Na kama ni marafiki basi na watoto wawe marafiki tu!
Post what you think about this
Unfortunate that I have to start off this way, but if you do not intend to take some time to reflect on what I will write then I will appreciate if you do not respond or pretend to respond to...
Najiandaa kuoa, hivyo nikawajibika kutafuta mshenga,
Nikafanikiwa kumpata Mzee mmoja wa miaka 80 hivi lakini alifiwa na Mke miaka 16 nyuma.
nikiamini kwa umri wake na busara zake nikaona...
Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.