habar yenu wana JF. Mie ningependa kufahamu tofauti ya love n crush IN DEEP! HOW CAN YOU TELL THIS IS LOVE AND THIS IS CRUSH. Je,crush ina last for how long? Maana kuna rafik yang alimpenda...
Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je...
Bujibuji kapeleka kulitambuliosha kwao li jimama lililomzidi miaka mitano.
Jimama lina mtoto mmoja, bujibuji hana mtoto wa kusingiziwa.
Ndugu wamemkataa kata kata jimama hilo, lakini mwenzetu...
Ndugu yangu amekuja kuomba ushauri, mke wake ni mwizi, anamwibia pesa kila kukicha. Nguo zake pia huibiwa na mama watoto huyo.
Kibaya zaidi kilichomsikitisha ndugu yangu ni kuibiwa kwa mifuko ya...
Butterflies close wings to avoid sex
By Victoria Gill
Science reporter, BBC Nature
Butterflies 'take turns courting'
The beauty of British butterflies
In the fleeting existence of a female...
Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua.
Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo...
Police in southern Bangladesh say a woman cut off a man's penis during an alleged attempt to rape her and took it to a police station as evidence.
"She said she fought back and cut off his...
Nilianzia hapa kueleza kilichonisibu:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/139650-mimi-b-y-na-x.html
Nawashukuru sana kwa Michango yenu.
Though kuna ambao mlini crash kwa namna...
Ni kwamba wanawake wa Rwanda na Burundi ambao waume zao ni madereva wa malori ya masafa marefu, wamebuni utaratibu mpya. Wakijua wazi waume zao wako katika mazingira hatarishi kupata VVU, kabla ya...
Mambo niaje wana jamvi, kuna kitu ningependa tuchangiane mawazo.ivi inakuaje mpaka mtu anapoteza ladha aliokuwa anaipata kutoka kwa mpenzi wake. Hapa nina maana kuwa msichana au mvulana kutokuwa...
Nina rafki yangu wa kike nampenda sana ila yeye kanipita miaka 2 ana miaka 28 sasa hv, kila cku huwa ananiuliza nitamuoa lini? Me najaribu kumpa sound cause ya umri wake, isingekua umri ungekuta...
jamani leo nimeona nijisalimishe hapa kwenu jamii labda nitapata maarifa.
mke wangu ana msifia sana mdogo wangu wa kiume, yaani kuna wakati hata hakuna umuhimu wa hizo sifa lakini yeye anamwaga tu...
Nimetokea kumpenda msichana fulani ambaye kanivutia sana.nikamtongoza akakubali kuwa mpenzi wangu.sasa tatizo nalipata hapa,kila akija getto tunapiga story kama kawaida tunachezeana bila...
Natumaini wote mmekua na jumapili njema!
Nwy kwa ndugu/jamaa/marafiki na mwenzi wako nini unachukia sana linapokuja swala la mawasiliano (simu au hata email) ?!
Binafsi sipendi
1)...
Viburudisho vya Dar eti mkiwa kwenye mtoko unaitwa Baby sogea hapa!!, mara oohh Baby usinywe hiyo. Baby inamaanisha nini sasa? I was'nt born last night. bora niende kwetu Mwanza ninakoitwa...
Easy said than done, take a test and evaluate yourself;
1) Unapokuwa na hasira, unawasiliana naye vipi?
2) Anapofanya kitu ambacho hukipendi, ameteleza unamwelezaje? Unamweleza kama mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.