naomba unapoweka verse sema ni kama wimbo wa nani vile.....
Babu mwana wa Kahena(verse)
Nile kama ndizi, nichane kama mic ni wewe wangu wa moyo...
Mtoto umetanuka,umechanuka,umewaaaaaaaaa...
Mapenzi ni dhana pana - hakuna ubishi kwa hilo.Ila naona wakati mwingine baadhi yetu tunachanganya au kushindwa kutofautisha baina ya mapenzi na vitendo au viashiria vya mapenzi.Hii imejitokeza...
Wadau wa JF.
Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku...
Wanajamvi, mimi ni mdau mkubwa sana wa hili jukwaa na leo baada ya kupata utakaso kidogo nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu nini hasa nia ya kujumuika pamoja jamvini... Nikakumbuka shule za...
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia...
Amani ya Mungu iwe juu yenu.
kuna kitu kinaninyima raha kidogo nategemea mawazo yenu yatanifaa.
Ni hivi,
Mim ni member wa social club fulani,mkurugenzi wa hiyo club ndo alinishawishi nijiunge...
Katika uzi huu binti mmoja huko Kenya aliomba ushauri wa nini afanye kabla na baada ya kupoteza bikira yake na hivi ndivyo alivyoshauriwa.....................................
1) Maumivu...
Wa JF, uchunguzi wangu wa haraka haraka unaonyesha kuwa wanawake ndio wateja wakubwa wa Boda boda (okada)! Mbaya zaidi, wanakuwa defence less na wamekuwa victims wa ajali nyingi sana!
Kuna nini...
Jamani sijui nanyi ni wahanga wa wanawake wanaojishaua wanapotembelewa na wageni maofisini mwao. Frankly speaking, wanawake wamezidi wanajishaua mpaka inakuwa kero. Kwa kweli ni ofisi chache sana...
nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie...
Wanatembea kwa umaridadi sana, huku wakikata kiuno kifundi na kusababisha maumbile ya nyuma yatingishike ki mahaba.
Bwana wehhhh, bahatika kwenda nae chumbani, huoni viuno wala nini.
Binti...
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni...
Wakuu nipo kwenye daladala laa gmboto limejaza gafla ugomvi unaanza kati ya mama wa umri wa kati na mwanaume mwanake anampiga huyu mwanaume tulipo hoji mwanake anaonyesha baibui lake...
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa...
Habari wana jamii wote,ni mara yangu ya kwanza kuingia huku kwenye forum hii
Naomba sana mnipe ushauri wenu kwa haya nitakayoyaeleza hapa
Mimi nimeolewa nina miaka 13 katika ndoa, nina mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.