Wanajamii
Natumaini wote wazima.........................
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikie kuwa ..Kama unataka mwanaume/mwanamke wako kimapenzi asikuchoke basi usimwonyeshe kuwa kwake...
Tafadhali soma uelewe kisha utoe jibu;unapoambiwa au kuona mke,mume,mpenzi amefanya mapenzi na mtu mwingine ni kipi kinachokufanya BP iwe juu?Je ni mautam anayokupa kwenye makasheshe,Je unahisi...
Ukiwauliza, baba kwanini nisimuoe huyu binti, utasikia akisema, sisi hatuoi ukoo au kabila analotoka huyo msichana.
Ukiuliza kwa nini, unajibiwa eti ni mila.
Utamchukuliaje mpenzi wako endapo utagundua kwamba anataku criticise kwa watu wake wa karibu kwamba da mshikaji wangu ni mlokole sana! Mi sipendi sana?
napenda kuwashirikisha katika ulingo kwa kutaka kila mmoja aliyeoa au kuolewa atwambie je mtu aliyemuoa au aliyeolewa nae ana sifa au vigezo ulivyokuwa ukivihitaji kabla. au umeoa au kuolewa mtu...
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina...
Kama wewe ni mkristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi:
Mwambie kuwa umefikiria na...
Je nini kilikufanya ukawa kwenye mahusiano uliyopo?Je ni ngono?Je ni kwa sababu umezaliwa ukakuta kuna mahusiano?Je ni kufuata mkumbo?Je ulilazimishwa?Je ulijaribu kujua ladha...
Wana JF
Natumain mmemaliza kazi zenu salama, mnajiandaa kupumzika ili mpate nguvu za kufanya kazi tena kesho. Nisiongee sana, nieleze lengo langu.
Mzee wangu (Baba Mzazi) Mr. JMM anategemea...
A girl and guy were speeding over 100 mph on a motorcycle)
Girl: Slow down. Im scared.
Guy: No this is fun.
Girl: No its not. Please, its too scary!
Guy: Then tell me you love me.
Girl: Fine, I...
Baadhi ya watu hudai kwamba wanawake hutumia muda mwingi kufikiria namna ya kujenga maisha, kama vile jinsi ya kuwa na maisha mazuri. Lakini kwa upande mwingine wanaume wanaonekana kutumia muda...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 33,nilikuwa na mpenzi wangu alienizidi miaka miwili na ana mtoto wa kike wa miaka 19 sasa. Mapenzi yetu yalidumu kwa miaka 6 lakini kutokana na migongano...
Sidhani kuna sababu yoyote ya kurudiana na aliyekuwa mpenzi wako,haijalishi upendo wenu ulikuwa mzuri kwa kiwango gani ,kama kaondoka akirudi sidhani kama ile trust itakuwa kama awali.
Ni nafasi...
or the vice versa is true!!!!!!
Kuna jamaa mmoja alisikika akilalamika mbele ya wenzake;
Nanukuu,
''Mke wangu toka tumefunga ndoa amebadilika na kuwa mtu wa kununa na kujifungia ndani kila...
Wanaume:Ivi ukimtokea demu afu akakujibu ninamtu tayari ni maujanja gani ambayo mnatumia mpaka anachojoa?
(Hapa ni serious kabisa yuko in relationship)
Wakuu mi nikiambiagwa hivyo huwa domo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.