Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani naomba kuuliza Nikwanini kunakuwa na kutokuelewana kwa wazazi wa mwanaume na wakwe zao? esp mama mzazi wa mwanaume na mke wa mtoto wake, maana kila ndoa nyingi zina malalamiko haya!. Kisa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama...
5 Reactions
216 Replies
13K Views
Salaam wapendwa naomba tujuzane ni sabuni gani nzuri inayo safisha ngozi ya mwili vizuri na kutoa uchafu wote unaojificha kwenye vitundu vya ngozi, naamin kwa kufanya hivi tutasaidiana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bandugu wapendwa wa jukwaa letu tukufu, nimekutana na huo ujumbe hapo chini na umenifanya nifikirie sana. Hivi nani kati ya Obama na Michelle alikuwa sahihi? Au ilikuwa ni mwendo wa Michelle...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
A True Love Never Ends It was a busy Morning, about 8:30, when an elderly Gentleman in his 80's arrived to have Stitches removed from his thumb. He said he was in a hurry as he had an Appointment...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Mvua ndiyo hizi. Ni mategemeo yangu kuwa wakulima tumeipokea kwa mikono miwili na kuifurahia sana. Kwani ni matarajio yetu kuwa baada ya miezi kadhaa tutavuna mazao kedekede kutokana na mbegu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Unatembea na mamsap kwenye Mall au mtaani na katika pitapita mnapishana na kigori ambaye ni 'fwine' kweli kweli. Umejaribu kujizuia kugeuza shingo lakini kutokana na udhaifu wako unageuza...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Binafsi naona hunitendei haki unapotaka niishi kwa utaratibu unaotaka wewe. Imagine tumeanza uhusiano, umenikuta nakunywa pombe, navaa vimini, naenda club, nafanya yale yote ninayoona...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Nilipata maneno haya toka kwa firstlady1, lakini kumbe naye ameyatoa kwenye biblia takatifu, nanukuu ''Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao wale nyumbani? Yaani usipokula nyumbani utakuwa umekula nje? Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ule! usipokula ugomvi haujaisha! Akitaka...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Napenda kuwasalimu kwa Herufi kubwa wataalum wote wa mambo ya nje na ya ndani .. nway hii ndo situation yenyewe.. mtu na mke wake ni wapenzi wa muda mrefu sana tangu shuleni .. wameoana miaka...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
nisaidieni mwenzenu kwani cjui yupi ni rafiki wa kweli kwangu,je rafiki wa kweli anavigezo gani?
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Wapendwa nimetoka kuongea na Kaizer na ameniTAARIFU kuwa nyumba yao imebarikiwa mtoto wa KIUME........... Mungu mwenyezi utukuzwe kwa utukufu wako tunaoendelea kuushuhudia! Tunawaombea afya...
18 Reactions
80 Replies
6K Views
Police: Man used hand weight to bludgeon fiancée By Arelis R. Hernández Orlando Sentinel Updated: 10:10 a.m. Tuesday, April 12, 2011 Posted: 7:40 a.m. Monday, April 11, 2011 Ruth Owino...
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni. Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Politician in Malaysia nudity row Politician in Malaysia nudity row Elizabeth Wong tearfully offered her resignation at a news conference A prominent Malaysian opposition politician has...
0 Reactions
37 Replies
54K Views
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Za leo wa ndugu, Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia. Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Wakuu kuna kisa cha ukweli mke wa rafiki yangu kalala na mwanaume amekutana nae facebook tena kwa aibu kubwa mana wameanza kuchat ndani ya mwezi mmoja tayari wakasex na kibaya zaidi huyu demu mke...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
wana jf natangaza ndoa mwenye pingamizi aweza litoa ndani ya saa 24 kuanzia sasa na kama pingamizi hakuna basi ndoa itakuwa imehalalishwa na ujue kuwahi sio kupata na naomba pingamizi lisiwe na...
2 Reactions
196 Replies
11K Views
Back
Top Bottom