Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

habar zenu wakuu? Hope ijumaa kuu imekaa fresh na kdogo wale wakristo leo tumegeuka marastafarai kwakuipotezea nyama espeshali mbuzi katoliki. Swali lang je,kwa wale wana ndoa ni vyema kweli...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanajamii naomba ushauri namna ya kumsahau mtu niliyempenda sana then akanisaliti, i have try many things still i remember her, we were in 5 years rlshp suddenly everything got to an end its a...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii naomba ushauri namna ya kumsahau mtu niliyempenda sana then akanisaliti, i have try many things still i remember her, we were in 5 years rlshp suddenly everything got to an end its a...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
kuna dem wa rafiki yangu ambaye 2likuwa 2kiishi rum moja 2lipokuwa high xcul now amekuwa akinipigia cm ucku na kunitaka kimapenzi huku akijua kabisa mm na boyfrnd wake ni marafiki wakubwa na...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Maji yananukia harufu tamu haina mfano, anaanza kwa kukalishwa kwa namna ambayo sehemu za kati zinatulia kwenye kisos, zinaanza kukandwa taratibu na maji ya nazi yenye machicha yake, kisha...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Hili si story, tunawaambia kaeni Uswazi ujue maisha!!! Ni true story kwa jirani yangu hapa ninapoishi!! Shemeji wa kike, mdogo wa mke kaenda kumwambia rafikiye huko mtaani kuwa; `Shem...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
oyaaa mazeee na mchumba wangu ila sijui kama nampenda b'se nikikaa huwa some times namuona waukweli tena nikikaa some times namuuona wakiuwongo kama nime ingia choo cha kike vile nifanyeje sasa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
" IF I COULD GET, ANOTHER CHANCE, ANOTHER WALK, ANOTHER DANCE WITH HIM I'd PLAY A SONG, THAT WILL NEVER EVER... HOW I'd LOVE LOVE TO DANCE WITH MY FATHER AGAIN.." Thats Luther Vandros,2003...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
salama wakuu? Naomba tushee experience. Mara ya kwanza kutongoza/kutongozwa na k2 kikakubali ilikuaje? Aisee nakumbuka mimi nilikua darasa la 7,mtoto alinisumbua lakini nikaja kumuweza baada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salamuni wandugu! Swali la "kama ni sawa watu kuishi pamoja bila au kabla ya kuoana" lilishaulizwa hapa jamvini zaidi ya mara moja.Kama maswala mengine tunayojadili hapa wapo waliopinga...
13 Reactions
98 Replies
6K Views
It still feels like our first night together Feels like the first kiss and It's gettin' better baby No one can better this I'm still hold on and you're still the one The first time our eyes met...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Maisha yanaendelea kama tunavyojua dar yetu tena, kamvua kananyesha mdogo mdogo kipindi hiki, trii triii..... napokea simu, mshkaji wangu ananiambia kuna dili posta so niwahi mda huo mapema tu...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita. -Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu wazima Naitwa Omm napenda kujitambulisha kwenu wadau. Ijumaa njema kwa kila mpenda maendeleo Omm.
1 Reactions
1 Replies
777 Views
unakuta mtu unaempeda sana na unamtegemea katika maisha yako awe mkeo,alafu unasikia kafunga pingu za maisha na rafiki yako wa karibu sana. utafanya nini na unakuta alikupromic kua mtaoana?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia. Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Hebu niwaulize wana JF. Wewe ukiona wako wa zamani (ex) anatoka na mtu mwingine eti utajali? Kuna jamaa mmoja kwa kweli simwelewi. Sielewi kabisa mantiki yake na jinsi mchakato wake wa kufikiri...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
wapendwa, nimekua nikisoma sana post na coments zenu za humu JF, lakini sijawahi waza kupost Topic au coment kwa sababu ninazozijua...ila leo imenibidi niwashirikishe hili... Jamani nina...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi...
0 Reactions
149 Replies
12K Views
Back
Top Bottom