Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Dear WanajamiiForum Ningependa nichukue nafasi hii kuwatakia Happy Easter 2011 na Happy Muungano Day......... Tuendelee kushauriana, kusaidiana na kupendana........Its all about Mapendo Mapenzi na...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wandugu wapendwa, nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi. Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
helows, naombeni ushauri wenu, mimi nina bf ambaye soon atakuwa mume wangu lakini tatizo ni kwamba kila tukikutana faragha kufanya tendo la ndoa akichomoa tu lazima ntokwe na damu ukeni sijui...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
10th Grade:- As I sat there in English class, I stared at the girl next to me. She was my so called 'best friend'. I stared at her long, silky hair, and wished she was mine. But she didn't...
0 Reactions
5 Replies
970 Views
From the very beginning, the girl's family objected strongly on her dating this guy. Saying that it has got to do with family background & that the girl will have to suffer for the rest of...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello april 29 prince william and kate wanaona kuna utaratibu wa mwaliko wowote kutoka Tz au africa ??maana list mpaka sasa ni watu wa magharibi tu.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nilimpenda kwa mara ya kwanza akanipenda. Nilikuwa mwaminifu kwake na kimsingi tulipendana sana. Ni miaka 11 hatujaonana. Tulitengana baada ya masomo yetu, barua na picha alizonitumia baada baada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa ni juzi tu mida ya asubuhi wakati nikiwa niko bize na kazi za hapa na pale huku nikiwa nimefungulia station ya radio ilikuwa inazungumzia mada inayohoji ivi: Je ni sawa kwa wanawake...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habar zenyu wanathnker. Ma2main yangu wate wazma na 2po kwenye mchakato ya maandaliz ya pasaka mungu awatakulie wote na 2sherekee kesho salama. 2kiacha hlo nimekutana maongez kwenye upata maj ya...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Juzi kuna kapindi kilinisikitisha kweli!Kuna baba ambae ana tatizo la figo..zimefail kabisa kwahiyo anategemea mashine kuishi!Huyo mzee ana dada na kaka zaidi ya watatu na hamna hata mmoja...
2 Reactions
63 Replies
4K Views
I wish I could promise you that we will always be together..Or what we have will last forever!All I can promise you is to always have your back..Be your light whenever it gets dark!Make you the...
6 Reactions
176 Replies
9K Views
Nimepokea taarifa sasa hivi kuwa Member mwenzetu (Bishanga) amefiwa na Baba yake Mzazi. Napenda kutoa pole za dhati kabisa kwa Familia nzima ya Bishanga. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Napenda kuudedicate wimbo huu kwa wanaJF wote mtakaotoka out na wapenzi wenu wapya leo Easter2011. Verse 1 SAJINA : Umechagua adhabu ya kujiua, Iweje sumu umezee maziwa, Si ndoto alinacha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwakeli nashindwa kujua kuwa ni nini hasa ambacho wanawake wanataka katika maisha hasa walio katika ndoa! nimelazimika kuongea hivi baada ya kugundua uchafu unaofanywa na rafiki yangu wa kiume...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
There was a blind girl who hated herself just because she's blind. She hated everyone, except her loving fiance. He is always there for her. Blind girl said that if she could only see the world...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ashukuriwe Mungu. Nafunga ndoa leo usiku huu
1 Reactions
40 Replies
4K Views
hello wakuu,its ma hope everyone is ok. Am gonna go straight to the topic. Sometimes it happens that you can no longer feel passion/love to your lover. So how can you put an end to the...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom