Ivi wanawake kulinga linga wakati wanatongozwa wanafanya makusudi au ni kujifnya hawataki wakati wanataka. Mara simu kakata, mara majibu ya mkato, mara nimechoka siwezi kuongea, mara kazima simu...
Huwa najiuliza mara nyingi lakini nakosa jibu zuri, naomba nipate mawazo tofauti tofauti, inaweza kutusaidia wengi wetu.
Wanandoa wengi hasa wa miaka ya sasa, wakikorofishana korofishana baada...
Jeez mwenzenu katika hali ya mshangao nikiwa gereji nasubiri bajaji yangu ifanyiwe marekebisho madogo madogo
Kulikuwa na kina baba pia kina mama na ndoa zao,pia kulikuwa na vijana ambao wako ktk...
Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't...
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae...
Wapendwa kuna rafiki anataka kumwambia mtu ile I LOVE U ya kuanzisha uhusiano,anaomba neno jingine la tofauti coz hili la sasa kwake anahisi ni jepesi sana (limekosa mvuto wa uhalisia) kwa huyo...
Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
Ninapokuwa nimetulia, huwa napenda kuandika kidogo....
JIKO
Yapo aina nyingi, bei yazidiana,
Ya tofauti shilingi, pia kulitumia,
Kuna ya ujuzi mwingi, na ule wa kawaida,
Jiko lako aina...
Mwaka jana kuna rafiki yangu ailkutana na msichana mmoja aliyesoma nae!Kwa muda msichana alimganda sana mshkaji na "I LOVE YOU" kibao.Mwezi uliopita mshkaji anaambiwa hivi unajua fulani kaolewa...
Napita hapa shinyanga na muda huu nakuta mzinga arusi, Bwana arusi umri miaka 79 na ni mhubiri na bi arusi afisa mmoja wa serikali. Imefana na waungwana wanashangilia ile mbaya. Kwa wazungu huwa...
If you're buying a woman dinner twice a
week, giving her flowers, calling her every day,
and basically "chasing" her, then you can be about
80% sure that there's another guy in the
picture...
Habar zenyu wanathnker ninawatakia her ya pasaka na pole sana kwa uchovu wa jana japo pia leo bidae kama kawaida tunaendelea na dubai. Jana katka matembezi ya hapa na pale nikaingia ndan ya gal...
"The more attrective the voice for a lady, the higher the pitch and the more likely the chances she will cheat". Is it true? Please justfy it or dissaprove. Wana JF kuna ukweli wowote wa jambo...
jamaa anadai yupo kwa love relation mda wa mwaka na binti aliyenaye mara alipompata binti alijinadi kuwa ni mhanga wa love pia alishawadamp wakaka wa3 kwa kumfanya kikaragosi, sasa jamaa anasema...
Hello, need ur help guys
Nina rafiki ambaye tumekutana chuo, toka nijuane nae is about 2 years now, siwezi kusema ni best friend coz simjui ki undani, ila most of the time tukiwa campus ndio mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.