Umekuwa mbali na mpenzio/mkeo/mmeo kwa takriban miezi sita au zaidi...! Japo mawasiliano yalikuwepo na mipango yenu ilikuwa wazi kwa kila mmoja... ! Wiki moja baada ya kukutana tena mwenzako...
When a woman loves, she loves for real.
Mercy - I dont want my boyfriend to go to jail; I love him
STICHES cover her once beautiful face, while pus seeps from her severely cut ear. Her...
Dear Friends,
Lets Share this as well.....
It's a story that you might find strangely
familiar. Don't be alarmed.
Once upon a time, there was a man who was very
attracted to a particular...
Wiki hii nili vinjali Tanga Baada ya Mizunguko ya muda mrefu kutafuta faranga pande zote za Dunia!
Nikiwa Ocean Breeze pale Tower Street, Nilikuwa na hamu kubwa ya kuendesha black mettalic car...
last three months nilipatwa na msiba baba yangu kipenzi, tukazika salama na kila kitu kimeenda vizuri hakukuwa na tatizo lolote..about two weeks sasa yamenza kubumburuka mambo ya nani mrithi wa...
...kuna nyakati hunijia wazo nitafute mw'mke anizalie mtoto wa kike, aniachie mtoto (aendelee na maisha yake.) Sihitaji mke:nono:, wala kujaribu mtoto mwingine na my Ex-Wife wangu, (mama wa...
Jamani, kuna rafiki yangu wa karibu sana kaniambia kuwa yeye anaurafiki na dada mmoja hivi (urafiki wa kawaida tu) kwa muda mrefu sasa! Hajawahi kumtongoza hata siku moja, lakini juzi kati hapa...
Wana JF,
poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia zetu kwa ujumla.
Ninaomba ushauri wakuu,
Katika hali isiyo ya kawaida kuna dada mmoja anadai kuwa jamaa yake wa karibu kampa kibendi ...
Nina kijana wangu ana soma form one, maendeleo yake ni mazuri sana kwani ameweza kuwa wa 2 kati ya watoto 140. Sasa ili kumpa motisha nilimwambia nitampeleka out siku ya mwisho kabla hajaenda...
Juzi nilikuwa kwenye kitchen party ya shoga yangu na mama mmoja aliyekuwa karibu yangu akasema WANAUME WENGI USIWAONE WANAJIDAI BURE, HAWAJUI KUFANYA MAPENZI!! He, nilishtuka kidogo na kutega...
hongereni kwa kuivuka pasaka tukiwa na uhai. (TUMSHUKURU ADENAI). Ni tumaini langu kuwa hapa jf ni kama chungu kilichobeba kila aina ya watu, wakubwa, watoto, wafanyakazi, wanafunzi n.k. Tatizo ni...
Unapotokea msiba, tunalia sana. Hasa ndugu na jamaa wa karibu. Uchunguzi usio rasmi umeonesha kwamba, kila mmoja hulia kwa sababu tofauti na ni wachache sana ambao wanalia kwa mapenzi ya dhati...
Mijadala mingi ya ndoa imeangalia sana mambo ya mapenzi na tendo la ndoa. Haya yameonekana kuwa ndiyo chanzo cha mifarakano na matukio ya kutisha kwenye ndoa. Hata hivyo watu wamekuwa hawajadili...
Kuna siku mdau mmoja hapa MMU alileta mada ya mama kufua kufuli ya mwanae wa kiume,kusema kweli yalisemwa mengi,nakumbuka ilifikia mahali mashambulizi yalipamba moto dhidi ya mtoa mada hadi...
Habar zenu great thinkers wote? Mimi ni kijana mfanya biashara, niliwah kupata rafik wa kike katika biashara zetu na ilitokea tukawa karibu zaidi kitu ambacho kilisababisha niwe na hisia za...
Si kutu cha ajabu kusikia wadau wa kundi fulani wametokea kuandaa kitu cha kuwakutanisha kwa pamoja.
Sijuwi na hapa imeshawahi kutokea hii au....?
Ila kwa ufupi, natamani itokee.
Huu ni mtazamo...
Jaman nina mpenzi wangu ambaye tunaishi mbali naye me niko mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine tuliachana miaka minne iliyopta baada ya kucheza mechi za utotoni bila kujari kinga na kumasababishia...
Wakuu kila mmoja wetu hapa amewahi kupenda au kupendwa kama hajapendwa au kupendwa basi yuko kwenye mapenzi tayari lasivyo soon au later atakuwa na mpenzi kama si hivyo anafikiria ipo siku atakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.