Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

A Hollywood hunk, ex-lovers, a blue film scene and even what to buy in a grocery store—these are things that women think of while having sex. Some women have now revealed what really scores with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ladies and Gentleman leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi.. kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye anakuchangulia nguo nyekundu...
5 Reactions
138 Replies
10K Views
Wadau, Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO Soma hapa nimecopy kama yalivyo Mizigo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili; ...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Nashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndani ya nyumba,mume na mke wote mmeajiriwa na kila mmoja ana kazi yake.Inawezekana mshahara wa mume ukawa mkubwa kuliko wa mke au vice versa.Nimekuwa nikisikia akina mama wengi wakisema,mshahara...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimekutana na hii misemo inayohusu wanawake nikavutiwa sana na baadhi a nikaona nishee na nyie miwili mitatu.. No matter how good she looks, some other guy is sick and tired of putting up with...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwanza nimejaribu kufikiria kati ya wanawake na wanaume ni wapi hua wanaongoza kwa kukaribisha/weka mazingira ya ukaribu kati ya wenzi wao na marafiki zao bila kupata jibu la moja kwa moja.Nadhani...
5 Reactions
86 Replies
6K Views
A woman's beauty is not defined by the clothes she wears,the figure she carries,or the way she combs her hair.Her beauty must be seen in her eyes,bcoz that is the window to her heart,the place...
3 Reactions
5 Replies
898 Views
Kutafuta mpenzi mtandaoni ni suala ambalo linaonekana la ajabu mbele ya akili za watu. Ajabu zaidi ni pale unapotaka jambo hilo lifanikiwe ndani ya siku hiyo hiyo. Watu tunaoingia mitandaoni ndio...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
Nilpokua nasoma chuo nilkua na mahusiano na msichana mmoja ambaye kwa imani yake ni muislam na mm ni mkristo,akapata uja uzito na kujifungua baby boy_we love and respect each other,nikahitimu chuo...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu Wadada,wamama popote pale mlipo,Mungu ni mwema na anazidi kutupigania siku hadi siku na kutunza familia zetu japo matatizo hapa na pale ni lazima. Leo ningependa kuuliza,kushauriana...
0 Reactions
83 Replies
5K Views
naomba ushauri wenu wana jamvi,mi baada ya kumaliza degree yangu kimsingi sikupata kazi katika fani niliyokuwa nimeisomea,so nikawa nafundisha shule fulani hivi ya private ili kujikimu...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
MWANAMKE anayetambulika kwa jina moja la Fatuma amelazimika kunywa sumu kwa aibu baada ya dada yake kumtamkia kuwa anaujauzito aliopewa na mume wake. Mwanamke huyo ni ili habari iliyochapishwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanaume wengi hawajui umri sahihi wa kupata watoto au kuwatotolesha waandani wao...............leo nimesoma katika gazeti la Ijumaa Wikienda ambapo msanii mmoja wa kizazi kipya (jina...
1 Reactions
22 Replies
16K Views
Women's English Yes = No No = Yes Maybe = No I'm sorry = You'll be sorry We need = I want It's your decision = The correct decision should be obvious by now Do what you...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani ni mkasa umenikumba nami naomba niende straight to the point. tarehe 15 Aprili nilikuwa safarini, nikakutana naye (u r not 12 years so u know wat i mean)...nikarudi nyumbani.. Jana naona...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Nani hakubali kama wazee/mabau/mabibi zetu walikuwa waukweli? Yapo wapi mapenzi kuanzia Miaka ya 1985...!!![/I][/I][/I][/B][/I]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom