Jamani wana JF ninaomba msaada wenu,
Kuna binti mmoja nilikuwa namdate tukiwa shule tena O level me nikiwa IV yeye II nilipomaliza tu shule mawasiliano yalikata, imepita miaka 16 toka tulioonana...
Upo na mpenzi wako mnayependana, mnaaminiana, dhaminiana, mmezoena, na kuheshimiana sana....! Siku moja mkaamua kutoka out mbali kidogo hadi ufukweni...! Kule mnakula maisha matamu ya hali ya...
1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4...
Na imani kila binadamu anaudhaifu ili likowazi nasisi wanaume ndiyo wakwanza kuwakwaza wanawake na mara nyingi mumekuwa mkiona nimakosa yakibinadamu na kulichukulia kawaida japo laweza kuwa...
Nimekua nikijiuliza sana kuhusu mahusiano.
1. Dada ana mpenzi wana miaka,sio mume wala mwanaume hana mpango wa kuoa,
wanafanya kazi mikoa tofauti, ajabu mwanaume anampa mwanamke masharti ya...
Mwanaume wa nchini ya Italia
ambaye alionja chachu ya mapenzi
baada ya kutorokwa na mpenzi
wake siku harusi ameenda
mahakamani kudai fidia ya dola za
Kimarekani 743,000 kwa kuvunjwa
moyo na...
The happiness of a couple can be measured to a large degree by effectiveness of their communication. How a couple communicates is the one of the most powerful factors affecting success or failure...
December 23rd ~ January 1st = Red
January 2nd ~ January 11th = Orange
January 12th ~ January 24th = Yellow
January 25th ~ February 3rd = Pink
February 4th ~ February 8th = Blue...
TWO PEOPLE CHATTING:
First: What is the difference between wife and neighbor's wife.?
Second replied: Wife is like chocolate, you can have anytime but neighbor's wife is like an
ice cream, you...
Je Kwa Sababu Unahitaji Watoto/Mtoto?
Je Kwa Sababu Unahisi Upweke Uwapo Pekee?
Je Kwa Sababu Babu/Bibi Wanataka Mjukuu/Wajukuu?
Je Kwa Sababu Huwezi Ishi Pekee?
Je Kwa Sababu Ni Desturi Ya...
4 years of age-My mummy can do anything
8 years of age-My mum knows a lot
12years of age-My mother doesn't know every thing
14years of age-My mother? She wouldn't have a clue
16years of...
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga
mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na...
Juzi nilitembelea Hospitali moja kubwa Nyanda za juu kusini Mkoani Iringa, inaitwa ILEMBULA, inayomilikiwa na Madhehebu ya Kilutheri.
Katika maongezi na jamaa zangu nilionyeshwa nesi mmoja...
Nimejionea jinsi tunavyoomboleza pale wapendwa wetu wanapotutoka. Pia nimejionea mbali na nyumbani, ughaibuni ndani ya usafiri wa umma, pale watoto wadogo wa Kiafirika wanapokuwa na wazazi wao...
Wamasai huchomeka mkuki mlangoni mwa nyumba ya yeyote yule na kuduu na mke mtu yeyote aliyemo ndani.Wao mwanamke ni mali ya jumuiya na hutumika na wote.
Taratibu ni:
1.boy/dume la kimasai...
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba...
Mambo ya ndani na mwenza wako hayafai kuyasema kijiweni au nje. Udhaifu wa mwenzako unatakiwa kumsaidia muumalize ndani kwa ndani, kwani hakuna binadamu aliye mkamilifu. Wewe unapowaambia wenzako...
Kuna mtu alikuja na post kama hii bt hii yangu iko tofaut kidogo..she's r.i.p 8 mothr sasa,na aliacha watoto 2 wadogo miaka 6 na 10.kuwalea ni shughul coz wanasoma na jinsia yao tofaut.which way i...
Take this quiz to find out if your girl finds you hot enough...
Are you hot? Do you find women drooling over you or do women just not notice you at all...
Which category do you belong? Answer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.