Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

MMMHH HIZO LEGS BABU KUBWA KWA KWELI....BINTI ANGESUMBUA SANA NA VIPEDDDDDDDDDDOOOOOOOOOOOOOOOO
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF, na hasa wale wenye weledi na mambo ya ndoa. Mke wangu niko naye miaka 3. Tuna mtoto 1 wa miaka 3. Nimemfungulia biashara nzuri, anaingiza pesa nzuri tu kwa siku. Usafiri nimempa wa...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Ndg zangu, Sina maelezo ya kisayansi lakini kuna news nimezipata kutoka maeneo ya Kyela namna wanaume wanavyowadhibit wake zao wasitoke nje ya ndoa na kula uroda na wanaume wengine. Eti...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakubwa shikamoni, wenzangu habari za jioni. Mimi ni kijana ambaye natafuta mchumba ambaye mambo yakienda sawa nataraji awe mke. Katika mizunguko ya kusaka degree nilimuona binti wa 2nd year...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
naomba kuuliza je ina maana yoyote 1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect 2.ambaye una feel like he is using you 3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Jamani inanishangaza, hii si mara ya kwanza kuliona na leo nimeamua kulivalia njuga. Jamani hebu liangalieni hili, utakuta mwanamke, mdada bado hakubahatika kuolewa na ukimfuatilia kwa undani...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kumekua na matatizo mengi sana hiv sasa.ktk dunia hii yetu hv sasa.nazungumzia kwenye nyanza ya mahusiano ya mapenz na maisha kwa jumla.ndoa zinavurugika,mume kamwacha mke na mke kamwacha...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
The greatest destroyer of peace is abortion because if a mother can kill her own child what is left for me to kill you and you to kill me? There is nothing between. Happy moms day and be thankful...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
A couple had an argument... boy confess to his 2nd gf that she's no2, bf said, he couldn't leave no.1 bcoz 1st gf is dying bcoz of a hole in the heart, and asked to spend her remaining life with...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
A woman who stalked Rio Ferdinand has been jailed and ordered to stay away from the Manchester United footballer for the next ten years. Susanne Ibru, who was branded ‘a predatory and...
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Haya wana JF Mashoga wa mombasa wameamuwa kuwa wazi kwa kila anaewahitaji,hakuna kificho tena mambo hadharani, je Dini zetu zinaruhusu haya? kazi ipooooo ktk hii Dunia
1 Reactions
61 Replies
20K Views
Wakuu, Kumekuwa na ubishani kati ya makundi mawili kuhusu mavazi wanayovaa wanawake. Kundi la kwanza linaunga mkono kwamba wanawake waachwe wavae kadri wanavyojisikia isipokuwa wanaume waache...
1 Reactions
37 Replies
11K Views
JAMANI YAMENIKUTA NA NAWAOMBA USHAURI, MASWALI KUNIULIZA RUKSA. NIMEHAMIA HAPA DODOMA TOKA MWEZI WA TATU, MWAKA HUU. WAKATI NIKITAFUTA NYUMBA KUNA DADA MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI PAMOJA...
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Wanapewa mafunzo ya ndoa na mapenzi kwenye mikusanyiko inayoitwa "kitchen Parties". Katika mafunzo hayo wanaambiwa mambo ya mapenzi na hususan jinsi ya kufanya mambo fulani fulani na kuhusiana na...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
  • Closed
Miaka huja na kupita, na tunafanya mambo mengi sana, mabaya na mazuri pia, ila Mungu na akutunze wewe na uzao wako na kuimbuka tarehe 9 may kwamba alitoa mtoto wa faida kwa Jamii ya watanzania na...
4 Reactions
108 Replies
17K Views
Mimi ni mschana wa miaka 24 nimeishi na mpenzi wangu nna miaka 3.tuna muda wa miezi mi nne hatuelewani.amekua na mambo mengi,kupiga simu mpaka niulize smtymz mara apitishe siku.mm kwa sasa niko...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput...
2 Reactions
148 Replies
9K Views
Hellow great thinkers,
0 Reactions
93 Replies
7K Views
Ni kawaida sana kwa wakina mama kutimbana na wakwe zao. Hii nimeiona live wakati nasoma sekondari, niliwahi kukaa kwa dada yangu ambaye mama mkwe wake alikuwa ni moto, na bahati mbaya shemeji...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hello JF members Hope you all have a lovely weekend. Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao. Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom