Sie wazaramu sijui tutamka lini.
btw
Ridhwani anamwoa yule binti wa Kichagga Mimi kusema ukweli siwezi saari za kupanda treni.Tulishampa yule binti wa kutoka Tanga ambako angepewa theory an...
SWALI:Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la...
Yes ladies.. Try it.. Nayapenda sana macho yangu the day nikipata chakula cha uzima asubuhi.. Guys try to your partners the problem is baada ya hapo mnatawanyika mnaelekea kwenye majukumu lol...
Labda tusaidiane wapendwa kuna mabinti wengi hvi sasa wanafikiri wanaapoolewa wanafikiri wanapendwa zaidi kuliko wote waliowapitia...kuna mawazo tofauti na haya ila ningependa kuwajulisha madada...
What is sex?
Duty- If done with your wife.
Art- If done with your lover.
Education- If done with a virgin
Tuition- If done with your teacher
Job- If done with the secretary
Business...
Hamjambo wana Jamvi la MMU, nimepotea kidogo afya inasumbua na hii hali yangu. Leo nimepata kisa cha kusikitisha sana. Kuna mama mmoja ameolewa na watoto 2. Sasa wameanza ujenzi na mume wake...
Wakuu baada ya muda mrefu nimerudi Jamii forums na leo tena nataka munisaidie na mawazo kuhusu yule dada ambaye niliwaeleza kwamba alikuwa ana double deal kisha ilipowadia wakati wa kuolewa...
Mambo! Moja kwa moja kwenye mada: Hapa ofisini kwetu mi ni mgeni kiasi, nina miezi kadhaa tangu niajiliwe hapa. Nimetokea kumpenda sana msichana mmoja ambaye yuko bomba kinomi. Demu wala siyo wa...
Unajua Wachungaji nao ni binadamu;;kuna watu wanafikiri ukiwa mchungaji uko kama MUNGU NO ..ni vyema tukawaepusha kwenye majaribu napale unapoona anayakaribia sio mbaya mkamtaarifu mapema huko...
Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ukiwa na mpenzi wako ukaona mmefikia hapa Basi Mmoja wene ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda...
There was a guy who was so tired of reading his girlfriend's message....
because there are always i love, i miss you or have you eaten your meals?
One night while lying in bed, he received a...
Ndugu zanguni jana nilipata mshtuko ingawa yawezekana naweza pata msaada toka kwenu..walikuwa wanadiscuss swala la ujasiriamali na mmoja wa wanamada akadai hata kujiuza nayo ni ujasiriamali...
Kama kuna kitu ninachikichukua ni mwanaume kuitwa sio riziki..kweli yawezekana kuna mazingirra aliishi yaliompelkea kuwa hivyo ama kuna wazazi wengine watoto wao wakiwa hivyo mascania na tipper...
Heloooooo JF, long time, mupooo, today i feeel great, happy, waooooo, and u know what? I LOOOOVE ME.
Muwe na siku njema wooooote na yenye rahaaa,
"Winner's don't do different things-they do...
Mwanaume unapewa mkong'oto wa nguvu na mkeo,unakimbilia Polisi,kaunta unaulizwa 'kulikoni?','nimepigwa na mke wangu,angalia ninavyovuja damu kichwani'unajibu huku chozi linakutoka,unaona polisi...
Mie n yank wa miaka 23 nahs mi ni HB, tangu nikue. Sjafankiwa kupendwa, ya nasiyaskia mapenz but sifahm lolote. Je ni muhm kusaundsha ndo nipendwa ama. Muda aado. Manake nina kira sababu za kua na...
Siku za karibuni mume wangu kipenzi, al aziz, nuru ya macho yangu kwa siku tofauti amekuwa akisumbuliwa na magonjwa kama vile tumbo, homa, kichwa, malaria na siku nyingine uchovu uliopindukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.