Nitaanza kuwataja,kwa majina na tabia,
Afrodenzi namtaja, nyamayao fatilia,
Nilham anakuja,wa rasheedi fatilia,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,
Judi wetu mwanaheri,asha d sitokuacha...
Bhoke arrived home from work early one day and found her husband, Marwa,
in bed with another woman.
"That's it!" she shouted, "I'm leaving and I'm not coming back!"...
Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni...
Wakubwa nina hilo gamba nalifananisha na EL! Nina miaka kama 6 na huyu demu but katika miaka hiyo kashindwa kabisa kubadilika both kitabia and kimuonekano! Demu ananipenda sana tatizo ni tabia...
Kuna demu mmoja nilikua na mahusiano naye zamani sana ilikua mwaka 2003, mahusiano yetu yalikaa kama miezi mitatu then akaondoka kurudi kwao Ngara. Katika kipindi cha mahusiano yetu hatukuwahi...
Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea?
Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza...
Kuna kaka mmoja alikuwa akimfuatilia rafiki yangu (wote wanafanya kazi) ni kwa muda mrefu atlast dada akaamua kuanzisha mahusiano nae kama wiki tatu zimepita.
Tatizo alilonielezea ni kuwa kaka...
kwa wale waliosoma shule za bording na single sex mnakumbuka nini kuhusu wake/waume zenu? shule moja huamini kuwa wake zao ni shule fulani katika madisco wao hupewa kipaumbele sana na kama kuna...
Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo...
Wahenga walisema mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni... To date mwanaume bado anasimama kifua mbele kuwa mpishi mzuri duniani na hakuna wa kumlinganisha. Just imagine kwa soseji moja, mayai...
Wana JF hongereni kwa kazi!!!!. Jamani naombeni maoni yenu kuhusu mwanamke anayecheza Karate anafaa kuolewa? Au inabidi aolewe na mcheza karate mwenzake? au kama mwanaume achezi nilazima kujifunza...
Nimeskia watu wengi wakiongea kuwa kama wewe ni mwanamke then ukamwona mpenzi wako anakuomba tigo ujue hakupendi!!wanajamii hivi kuna ukweli katika hiyo belief
Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa...
Wana Jf kuna dada yake na mdogo wangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo. Nimefahamiana naye sababu ya mdogo wangu, tumezoeana na namheshimu kama ndugu yangu. Lakini cha ajabu ameanza kuonesha kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.