Mimi sio mwenyeji wa hili jukwaa, lakini napitapita mara kwa mara angalau kusoma mada.
Juzi w/end nilikuwa kwenye kasherehe na vijana wenzangu kutoka mataifa mbalimbali ya Africa (sana Zimbabwe)...
Shalom
nashuukuru mungu kwa kuwapa nafasi tena kuweza kuuona mchana wa tar 16 may2011...si mbaya tukakumbushana najua akuna jipya ila kinachoaribu ndoa za watu sikhizi ni kusahau yale...
Wakuu tafadhalini sana naomba msaada wenu, kijana mkorofi, mtukutu amemaliza f4-2010 matokeo ana D moja tu ya biology,veta hataki anataka kuunga certificate ya business, akaomba ali-sit mwaka huu...
Huu wimbo na upenda hasa pale nipokuwa niko lonely na kumisss mpenzi wangu waroho lakini si kwa wapitaji..
Sijui wewe huwa unakumbuka ukiwa wapi..
YouTube - SEXUAL HEALING - MARVIN GAYE - (1982)
Ni bora msiba unaojua umetokea na watu wanakuja kukupa pole ogopa mtu alieumizwa aliekuwa na msiba wa ndoa ambae soln yake ni yeye na mungu wake akuna atakae kuja kumpa pole maana soln ni yeye na...
ndugu
wana jamii hili suala limekuwa likinitatiza binti mbichi kabisa kuwa na mausiano na mwanaume aliye oa kwanini asijiusishe na kijana mwenzake ladba ipo siku mambo yakwa...
Juzi jumamosi nilibahatika kumsindikiza rafiki yangu mmoja kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa fiancee wake. Pamoja nami na bwana harusi mtarajiwa, tulikuwa pia na mjomba wa huyo rafiki yangu na...
Habari zenu wana JF popote pale mlipo,ni matumaini yangu Mungu wetu mwema anawapigania daily,
Wapendwa naomba msaada wa mawazo yenu kwa wale mliokuwa tayaru mmeoa/olewa na wale walio bado pia...
provided by
More women are taking their new husbands' names after marriage, research shows. But the decision continues to spark debate and confusion.
More from Yahoo! Finance:
Gas Saving...
Judith alipata bahati mbaya ya kufiwa na wazazi wake akiwa mdogo sana. Ndugu walimtelekeza na hawajui ndugu zake kabisa.
Maisha yake amekulia kwenye kituo cha lulelea watoto.
Leo anajitegemea na...
Ndugu zangu,
Mara kadhaa imejitokeza mijadala humu jamvini kuhusu dawa za kichina za kuongeza au kupunguza ukubwa wa viungo mbalimbali vya miili yetu. Lakini mjadala mkubwa umekuwa unahusu dawa...
wajemeni hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine pia hizo G-strings na bikini hatuna mzuka navyo??am more comfortable nikivaa pants kubwa ila wakati wa kusaula na shemeji yenu naona aibu...
Simaanishi yule mliochakachuana, mpenzi ninayemsema ni yule wa enzi zile za kidali poo, kombolela,kucheza ule mchezo wa baba na mama au kama mnakumbuka ule wimbo wa " NILONGE NISILONGEEE...
Pengine wawezaa jiuliza kwanini?
Hii ni hali halisi na ukweli,
Habarini za asubuhi wapendwa ktk bwana natumaini Mungu amewawezesha kuikwepa folen ya asubuhi hii na kama bado basi si haba waweza...
Ndugu zangu nionavyo ni kuwa sisi waafrika watanzania in particular kutafuta wapenzi au wachumba kwa njia za mtandao hatuwezi kabisa na wala hili si letu ingawa tunajitahidi na kujaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.