Wakati fulani mwaka juzi niliwahi kumuuliza dada mmoja kuwa;wakija wanaume wawili kwa wakati tofauti wakakutongoza,yule wa kwanza akaja anakubembeleza kwa upole na kukuomba uwe girlfriend...
Namtafuta Maria R...a
Kabla ya kupotea yupo hivi:
Ana track suit ya pink, top ya pink, bra nyekundu, chupi nyekundu, no tight, silver earings, viatu vya pink, no sox, lip stick, nywele za rasta...
Kitabu cha mithali 31 kuanzia msitari wa 10
hadi 31 kimeelezea sifa mbalimbali za mke
mwema, tuangalie kwa uchache sifa hizo
kwa kuzichambua katika maeneo tofauti.
1. Imani
Mithali 31:26, 29...
Kukiwa kumebaki siku tatu kuingia jumamosi ambapo ndugu zetu wengi wanatarajia kuoa ama kuolewa ndugu wapendwa hizi siku tatu ni nyingi sana siku hizi zaweza kuwa furaha yako milele ama shida...
kwamba mwanamke afaidie penzi la mwanaume ni yule wa mwisho kati ya wale aliowapitia huyo dume? kwamba mwanaume afaidie penzi la mwanamke ni yule wa kwanza kwa vile 'njia' itakuwa bado...
Pengine waweza kuwa mmoja wapo pasipo kujua
ndugu rafiki najua si kila mtu anaependa kufikwa na yanayowakuta wanandoa wa sasa..najua kuna wakat mkiwa marafiki mlihisi mnaitaji dunia kumalizika...
How to make a woman happy.
It's not difficult
*
to make a woman happy.
A man only needs to be:
1. a friend
2. a companion
3. a lover
4. a brother
5. a father
6. a master
7. a...
Mimi ninaamini kwamba lengo la pete za ndoa ni kuonyesha kwamba huyu mtu (Mwanamke au Mwanaume) ameoa ama ameolewa. Kinacho nishangaza na nimeshuudia hawa jamaa wenye pete wana mahusiano nje ya...
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!
Kwa wale...
... then tell her she is the one,
Great song among many other nice ones, it's the one which touched me for special reasons, huwa ninaguswa sana hasa kipande chenye haya maneno: N' when you see...
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema...
Ulaji wa chakula aina ya chipsi kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa...
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu...
When God created woman he was working late on the 6th day
Angel came by and said: ''Why spend so much time on that one?''
And the Lord answered:
''Have you seen all the specifications i have...
Jamani nimeanza kuuliza hilo swali baada yakuona kisa na mkasa sehemu today nikiwa nimefika tu home nikitokea church...Binti wa kazi kumbe katoka kwao kwa shughuli maalum ,,
Katika kupanga panga...
Dogo ana miaka 22, kamaliza form 6 mwaka jana, hata chuo hakwenda. Hivi juz 2kiwa kwenye kambi mmoja ambalo liko mbali kidogo na wasichana kwa muda wa miezi ka 5 chali alitutamkia nia yake LIVE...
Jamani msaada
Jamaa yangu juzijuzi tu hapa kanambia kuwa kapata mchumba. Tulikuwa na ugomvi aoe maana yuko 35 sasa! Basi juzi tu akanambia kuwa kampata mwenza na anataka mipango iende fasta na aoe...
Kaazi ipo!
Malawian president says Homosexuals are worse than dogs
Monday, May 16, 2011, 16:31
Malawian President Bingu wa Mutharika has delivered a blistering attack on homosexuals describing...
Sisi sote ni binadamu na kila mmoja wetu ana mapungufu yake,mi naomba niulize kijiswali hiki: Hivi ushawahi kuwa na mahusiano na mtu na na dada yake? na kama wewe ni mwanamke ishawahi kukutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.