Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Napenda wangu awe mweusi si sana kichocolate fulani, asiwe mrefu sana, awe amebinuka kidoogo yaani asiwe amepigwa pasi sana kijungu kwa mbaali yaani cha kimazoezi, six packs lazima not one pack...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unaweza fikiri ni normal but binafsi naona sio normal......... Ni hivi toka mashindano ya big brother yalipoanza sijawahi feel uncomfortable kuona watu wakibusiana (french kiss) kwenye screen...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimekuwa na uhusiano na mpenz wangu kwa mda mrefu but now nimekuwa mbali naye kwa sababu za kimasomo mana nipo ugenini(abroad) kwa hiyo mawasiliano yetu yalibaki kwa njia ya mitandao mpaka sasa,au...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Inachekesha lakini hii kitu ipo sana.... Unakuta kuna mtu anaheshimika mno kwenye ukoo wao... Ukiuliza unapata majibu very interesting.... Mimi huwa naaita kuweka rekodi kwenye ukoo..lol...
1 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosomeka, ni ukweli usiopingika kuwa mavazi ya wanawake yanachangia sana vitendo vya ngono. Sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kuona akina dada mijini...
2 Reactions
110 Replies
10K Views
ila ni kifaaa,ingawaje ana mtoto wa miaka 9,lakini umbo na sura yake bado ipo hewani - Jina lake ni Nafissatou Diallo, 32, mjane, mwenye mtoto wa miaka 9. Ni raia wa Guinea aliyehamia Marekani
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Home: Geneva of Africa Mama -chagga, baba Mngoni Nina wajomba wanne. The last one 'uncle 4' is very handsome, a civil engineer, mcha mungu, mwoga wa wabinti-yaani domo zege sana...
0 Reactions
87 Replies
6K Views
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Hivi ni sababu gani hasa inayowasababishia watu mpaka kufikia hatua ya kufungishiana ndoa ya mkeka?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nina Rafiki yangu tumejuana kitambo, kwa sasa ni zaidi ya ndugu. Ni mtu mzima amenizidi ki-umri. Bwana huyu amekua mgonjwa wa Figo kwa muda zaidi ya miaka Minne sasa. Ka talaka mke wake wa kwanza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini inatokea sana watu (both men & women) wanasex na mashemeji zao (rafiki za wapenzi wao). Alafu mara nyingi huwa hamna hata nguvu kubwa inayohitajika kufanikisha hilo. Just within...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waheshimiwa mmekua mkidai mpewe source kwa kila story. Source ni mhm bt kuna story hazina source, imagine natoa story abt my girlfriend, source niitoe wap?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
I know they wanna come and separate us But they can't do us nothin' You're the one I want and I'ma continue lovin' 'Cause you're considered wifey and I'm considered husband And I'ma always be...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Wadau suala hili ni very serious na kama kuna mtaalamu wa masuala ya kijamii niko tayari kumuona ofisini anisaidie kuwa free. Wadau nilifiwa na mke miaka kadhaa iliyopita,akaniachia watoto wawili...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
GOSH!! Hivi jamani unaweza ukamchukia mtu mpaka ukimwona au ukimsikia hata hamu ya kula inakuisha??? Kuna mtu mmoja maishani mwangu nampenda kiasi kwamba niko tayari hata kufa kwaajili...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Huku mtaani ninapokaa kuna dada mmoja jirani yangu ameniomba ushauri kuwa jamaa yake hajawahi kumfikisha kileleni toka waanze uhusiano wao miaka 3 iliyopita,nimemuuliza kama jamaa huwa anamuandaa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa tisa, tupo kwenye process ila jan amegundua mchumba wake ana mwanamke na mtoto mchanga wa miezi mmitatu wamefanana kama mapacha, alizaa naye akiwa arusha...
1 Reactions
108 Replies
7K Views
Mugabe apasua! -Nina miaka 87 lakini mke wangu kamwe hawezi kusema mimi ni mzee! -Fimbo yangu inaweza kumlegesha mwanamke yeyote kwenye magoti yake! Wed, May 18, 2011 PRESIDENT...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom