Jamani kila mara nawaza na ninapenda kuwa na familia yangu(kuoa),kuwa na nampenzi mwaminifu,but mimi nikifiria maisha baada ya kuoana naanza kuwaza sana,kwa mfano najiuliza.
Je akija kuniacha...
jamani mimi kitu kinanishangaza ni haya majibu ya wanawake wanapopigwa sound au kutongozwa, kwa mfano
mwanaume; mi nataka niwe na wewe
mwanamke; nina mtu.
mwanaume; kwa hiyo...
Mi ninakupa sifa kwa mapanzi wajuaa..... Tuma ringa, we ndio wangu kifaa.... Tuma dunda! wewe ndio wangu mamaaa-sitaki mwingine tena! Umewashinda wote nilopitia.... Tuma Ringa!
Kumbe ukweli kwa mara ya kwanza ukimwambia demu utamkosa hata muuza maandazi? Lol..!! So kwa mara ya kwanza uongo 90% ukimpata uongo unapungua around 70%, mara ya pili umempata 50% uongo na ukweli...
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.
Nataka kujua ili kama kuna faida extra...
Habari zenu wana jf i hope mko poa, swali langu ni kwamba ni dalili zip/ alama gani ambazo huonekana kwa mwanamme anaye toka kimapenzi na housegirl wa nyumbani kwake ilikhali yeye ana mke...
Tunaishi jirani sana kiasi kwamba kila siku jioni lazima tuonane, ameolewa nami nafahamu hilo, hujiheshimu kwa kiwango chake, na mume wake huwa ni mtu asiyekuwepo mara nyingi za wiki (kama siku...
Watanzania mimi ni mwanaume niliye na mchumba ninayemjali sana,nilimwamini na kumtambulisha kwa ndugu zangu lakini ghafla amebadilika anazima simu na kuwa na visingizio vingi.Leo ilifikia hatua ya...
Ni miezi miwili imepita tangu ndoa hii imefungwa,lakini iko kwenye misukosuko mikubwa baada ya mume kila akilala amekuwa akiota ndoto na kujikuta akitamka kwa sauti jina la mpenzi wake wa zamani...
Ndugu jamaa na marafiki nawasalimu wote. Je Avatar ninayotumia sasa ina tatizo lolote au niendelee nayo tu. Nauliza hivi kwa kuwa kuna watu watatu tayari wameni-pm kuwa nibadilishe naomba maoni ya...
jaman nilikua na mpenz kwa miaka mitano na ushehe ila 2kaja achana na kila mmoja akaenda separate way, ikawa no calls, no sms hata salam na sasa kila mtu ana mpenz mwingine kwa takriban kama mwaka...
Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka...
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti...
Kila kijana utakaekutana nae barabarani hata wewe unaesoma hii thread na wengine wameshatendwa(kuumizwa kimapenzi)kutokana na hali kuna ambao wameamua kutokuwa waaminifu au wengine wanarevange...
By Dr. Phoenyx Austin
1. Facebook Stalk
Facebook has truly taken ex-stalking to a whole new level. And while I understand the temptation to peek at an exs profile from time to time, I still...
Kama Ivuga amekua "Saint Ivuga",basi
na mimi naweza kuwa Saint Speaker,...
na kila mtu ajiite Saint *****;
Nahitaji kipimo nijue kama nakaribia kutangazwa mtakatifu au nisubiri
kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.