Duuh! hii kali, ama kweli ubaguzi unapamba moto! vipi wakuu mnakubaliana na hizi findings? maana mimi binafsi nimegoma! the most beautiful woman in the world is a black woman! Shabaash!!
Are...
Mnakumbuka huu wimbo
amempata mwenzake aliepewa na bwana
nawatakia wote wanaoenda kupeana pete za kuwa mume na mke maisha mema na ya faraja na furaha ndan yenu..kumbuken mungu ndie mweza...
Jamani umri wangu naona kama unasogea taratibu,nina miaka 42 lakini sijaoa bado,lakini niliishi na mwanamke miaka ya nyuma tukazaa lakini tulipoachana mpaka leo sijafikiria kuoa tena,lakini nahisi...
Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.
Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku...
Ndugu zangu unakuta mara ya kwanza kwenye uhusiano kuna kuwa na upendo wenye nguvu zaidi.Na kila mtu anakuwa anamfurahia mwenzake wanapokuwa pamoja.
But kinachonikera mpenzi wangu ana tabia ya...
nimewahi sikia hili jambo?
kwamba kuna kipindi fulani,katika mwaka miezi fulani hivi...
huwa inakuwa ina mapenzi zaidi...
na kipindi fulani hivi kunakuwa na kama
ukame hivi........
binafsi...
Kuna mzee nilikutana nae kwenye basi nikielekea Mwanza kutoka Arusha, katika stori nikajikuta namuuliza yule mzee, nikija kuoa ili ndoa yangu iwe na amani nifanye nini?
Akanijibu kuwa;
Ukija...
Inaonekana mabint na hata wamama watu wazima siku hizi wanapenda vijana masharobaro ndo maana vijana wengi sikuhizi wanajipodoa na kuoga mara 6 kwa siku!!Je wewe wako nae ni sharobaro?
Mtafaruku wa Mkuu wa Shirika la Fedha duniani kushawishika na mwanamke wa kiafrika mwenye mtoto wa miaka 9 akiwa mfanyakazi hotelini na kuishia kulazimisha mapenzi bila ridhaa yake. Ninachoshangaa...
Wanawake wengi wanachangia sana kwa waume zao kuwa na vidumu aka nyumba ndogo. Mkiwa pamoja mwanamke ana visababu vingi sana vya kumfanya asiwajibike. Hivyo inawafanya wababa watoke (kidooogo) ili...
Nina best yangu mmoja ameanza uhusiano na binti mmoja mrembo sana tuuu, na wana kama miezi 6 hv, kwa jinsi ninavyomfahamu huyu jamaa ana uzoefu mkubwa ktk maswala ya mahusiano na girlfriend zake...
Najua ni vizuri kushine ila kuna rafiki yangu amesema neno moja nkajiuliza mara mbili,ETI WOMAN ARE NOT WEARING CLOTHES TO GET MORE ATTENTION TO MAN BUT TO THE FELLOW WOMAN AROUND , I like the...
1. There are two types of men. Those who cheat and those who lie about it. Choose
one
2. Men have sexual thoughts about EVERY woman they meet (except their mothers & blood sisters only).
3...
Wanajamvi salamu!
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya jambo hili. Since most of the times tunakuwa tunalia kutendwa kimapenzi na bahati mbaya sana tunatupiana lawama kila mara...
Dear JF reader, yes you, this is for you.
This is a letter to tell you that you're special. Not only are you a unique person, made from the same stuff as stars, but everything you have done in...
Huyu dada anaomba msaada..
Akiwa ndio amemaliza skuli yake na kupangiwa kazi alipofika kwa ofisi akakutana na kaka ambaye hakumpenda hata kidogo kuanzia muonekano mpaka mavazi ,na hakupenda hata...
Its about Love na hii hisia ya Mapenzi.
Nina maswali machache ambayo nimekuwa nikijiuliza:
1. Hii hisia ya love inawezaje kugawanyika?
Kwa kugawanyika nina maana kuna love za aina nyingi. Kwa...
Kuna mzee mmoja (mfanyakazi/mheshimiwa) alienda semina mbali na kwake, huko ikabidi akuchukue nyumba cha kulala wageni, baadae ikabidi atume wahudumu wamtafutie kiburudisho (ka CD). Kwa kuwa yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.