Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako Na wewe bado upo hai na unaishi nae , tena mna pendana kweli! Naomba ushuri ili nijue cha kufanya! Bad thing ni kwamba...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna siku nilimwaga hapa mikero kibao ya kinamama,mimgine hii hapa: 1. Mara akwambie oh Ex wangu alikuwa hivi mara vile,ya nini yote bana? mbona mliachana sasa? 2.'We nae mpira tu kila...
4 Reactions
90 Replies
5K Views
Miaka ya sabini waingereza walikuwa na kijitabia cha kuwachunguza wanawake wa kihindi wahamiaji nchini kwao kama bado wana bikira zao huku wakisingizia walikuwa wanapima uja...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ikitokea umempoteza mtu unayempenda unaikabili vipi hii hali? Yani hata sijui nisemeje, nimechoka kwa mawazo hadi akili kumfikiria sana huyu mtu. Roho inaniuma na ninakumbuka sana vitu...
7 Reactions
97 Replies
14K Views
Tarehe ya leo (8/May) ni tarehe ambao ni siku ya akina mama duniani (si inchi zote) uhitimishwa. Mama amekua akisifiwa kwa malezi yake mazuri juu ya mwanae ikiaminika kua hufanya lolote lile bila...
12 Reactions
67 Replies
8K Views
Jf nisaidieni kuna dada niko karibu naye lakin ananionye sign za mapenz lakini mm sijamtongoza naye anaogopa kusema nakupenda,sijui nimfanyeje,jf nawategemea.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
HOW TO EVICT YOUR INNER WUSSY... ...OR... HOW TO STOP DOING THE WRONG THINGS AND START DOING THE RIGHT THINGS TO ATTRACT MORE WOMEN AND KEEP THEM ATTRACTED! I was talking to a good friend of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I love this song because I think its very wrong when ur fellow lady takes ur man n u simply say he was not meant for me and if he is mine he wil be back,its good to fight for what you believe...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
mambo ya kuhangaika kutafuta mabibi/mabwana wa kizungu sasa yamepatiwa dawa.so usihangaike. piga hii namba na wewe upate wa kwako hii ni offer. ninadeal na wanao taka wazungu tu! 0654798434
0 Reactions
41 Replies
16K Views
Mwezi March nilitoa thread yangu iliyokuwa na kichwa cha habari, 'Kama ni ndoto mbona haiishi?'. Baada ya kutoa thread ile nilipata faraja sana na ushauri wenu ulinipa nguvu mpaka sasa ninaishi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
All of us have at some point heard someone saying that girls fall for men who look like their fathers, and now an expert has explained why this happens. Professor David Perrett, of the...
2 Reactions
153 Replies
8K Views
6 years: Momknows everything! 8 years: Mom knows alot! 12 years: Momreally doesn'tknow everything! 14 years: Mom knows nothing! 16 years: Mom, whatmom! 18 years: Mom is outdated! 25...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Having an affair with a co-worker, but fearing that it might land your job in trouble? Well, now you can hide that office romance by following only a few tips. Here is a set of guidelines on how...
1 Reactions
81 Replies
5K Views
Nani kama mama'jibu ni rahisi hakuna'mlitubeba tumboni miezi tisa hukuchoka'tena waume wengine wakirudi nyumbani wamelewa'lakini ulikuwa mvumilizi miezi tisa ilipokwisha ulijifungua kwa shida...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi nina swali wana JF hivi jamani mi najua kabisa umuhimu wa kula chakula cha jioni na hata usiku lakini swali langu je nani anayenufaika zaidi?kwa kuwa mmoja anaandaa wanapika wote lakini mmoja...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Popote mlipo,mwenzenu natafuta watu wa kubadilishana nao mawazo, na wenye uzoefu ktk maisha. Kwa sbb hapa JF ni sawa na nyumbani, jinsia yeyote, aliye serious ani-PM au email kwa atakayependa ipo.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimetumia Kingoswe nieleweke zaidi, najua wengi mtapinga hasa wanaume lakini ndo ukweli, nakupa simple mfano au maelezo tu kidogo, sisi wanaume hasa tunaojifanya eti smarter than wanawake, utaanza...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Walinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta. Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu? Wakanitajia...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani naombeni msaada wenu ,kila wakati najisikia kula chakula cha usiku hata kama ni mchana tatizo ni nini?ni mchmba but yupo mbali kuhusu kumwibia no kwa sababu naona ni dhambi kubwa sana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanaume wakikaa pamoja kwenye mabaraza yao na wanawake wakikaa pamoja, je ni watu wa jinsia gani huzungumzia ngono zaidi?
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom