Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Natanguliza salamu kwa wote wapendwa.. kuna kisa kimetokea kimenifanya niamshwe usiku wa manane na kuniharibia usingizi. nahitaji maoni yenu wadada, ingetokea kwako ungefanyaje? kisa chenyewe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada???? Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
mimi ni mshabiki wa blogu ya u-turn, ila mume wangu kwa muda wa miezi minne sasa amekuwa na kisirani kweli heti, kisa mimi kuitembelea hiyo tovuti ya uturn. sababu zake ni kwamba nina ujeuri. basi...
1 Reactions
93 Replies
8K Views
:teeth: Necessity, they say, is the mother of invention...but this an adage Isiolo residents have taken to another level, quite literally...this because there are people in the area who have...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkazi mmoja wa Arusha alimuaga mkewe anakwenda Dar kwa safari za kikazi. Kumbe safari ikawa ni kwenda Loliondo kwa babu. Mkewe naye, akaona huu ndiyo wakati haswa wa kwenda kwa babu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakuwa Karibu na Mpenzi wangu Kimwili na kiakili. Na-act kama mshauri mkubwa na Namtia matumaini Natoka nae out mara mbili within a week days na wkend tunakuwa pamoja. Kila wkend Shoping lazima...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Quotes on “Is He or She THE ONE?” 21 Comments The following are quotes from various resources on the question of whether “she or he is truly the one” you are supposed to marry (not for those...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Nibora kununua Ohio kuliko mambo ya i love you sijui...kimepanda kimeshuka!!! Tuone na malingo yenu mmezidi kulinga na zaidi mnachakachua sana na kila mmoja lazima awe na watu wa2-3!! Bora ununue...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
0 Reactions
145 Replies
8K Views
Wadau Leo asubuhi nilikua nasikiliza radio nikasikia huko Ujerumani bunge lina mpango wa kujadili nafasi ya mwanamke nyumbani na pia namna ya kuongeza au uwezekano wa wanaume kuwa more involved...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hebu wana jf tuliongelee hili, kwa ushuhuda nilionao naona watoto wana mapenzi sana na mama zao kuliko baba. Hebu tuangalie mifano michache, nyimbo nyingi zinazoimbwa dedication ni kwa mama, watu...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukiwa mwanaume, umeoa na umekuwa na mzunguko wa hapa na pale katika kutafuta mkate wa familia. Umebahtika kumpata mtoto wako mmoja....! Umekuwa ni wa dunia ya leo na hivyo ukawa mmepanga na mkeo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Aslaam aleikhum wana jamvi.Inaweza icwe dawa lakini kama umeinywa inaweza kukupa ahueni.Ile kasumba ya kuyaweka mambo yako ya faraga kijiweni kwa washikaji,saloon kwa mashosti, inakua na mantiki...
0 Reactions
94 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF, Ni mwezi mmoja sasa umepita binti mmoja jirani yangu amegoma kuolewa na mwanaume ambaye ni Dereva na kutoa maelezo yafuatayo. .Hataki mwanaume Dereva Askari...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya. Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga...
0 Reactions
185 Replies
12K Views
jamani nimepata shuhudia fumanizi nyingi, pia nimepata simuliwa mengi bt sijawahiona KALI KAMA LILE ambalo Mke na hawala yake walipogongwa na kufungwa pamoja na Nyoka aina ya Chatu kwa masaa kazaa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
.....MAPENZI YAMEJAA UNAFIKI.... .....wanawake wamejaa pepo la mali,fedha,starehe,anasa,nk .....wanaume wamejaa pepo la tamaaa(kupenda vi teen age),vileo,ufisadi na rushwa ili kutimiza haja za...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF mwenzenu niko kwenye hali mbaya, ni miezi michache imepita nilipata mpenzi ambaye nilijikuta kumpenda baaada ya kuvutana sana , maana yeye alipokuja kwangu nilimueleza jinsi...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Back
Top Bottom