Pamoja na kuwa napenda sana kutumia jf tokea nikiwa siyo memba hadi sasa nimeshajiunga, kwa sasa imekuwa tofauti. Sijuwi ni kwangu tu au na kwa wengine wanaotumia simu pia. Tatizo ni hili, siku...
Najua pahala hapa hapaharibiki neno nimeolewa yapata miaka kadhaa sasa nina watoto wanne,Mume wangu hatulii kabisa, Ni mcharuko kwa kwenda mbele hapishi skirt wala gauni.Mie...
Man dies for too much sweetness during sex
By Nyasa Times
Published: March 10, 2011
Related
Police warns on mob justice after Ndirande thieves killed
Buying, selling sex not illegal in...
:panda:Wanajamvi, kuna kijana mmoja anasema, eti ametokea kumpenda sana mpenzi wa kaka yake, amejaribu kujizuia ameshindwa hivyo anataka ajaribu bahati yake kwa huyo mpenzi wa kaka yake! Sasa...
Unakuta mwanaume ana nyumba ndogo na jamaa anaelekea kuitelekeza nyumba kubwa(yaani mke wa ndoa) baada ya kuuliza inakuwaje hivi unaambiwa jamaa kalishwa dawa, hivi hizi dawa gani na kweli zipo...
Khabarini wana jamvi nimatumaini yangu ya dhati kuwa mu wazima wa afya tele na kwa wale wanajickia mafua,maralia,uchovu wa hang'over poleni sana.Jamani nakua kama nachungulia humu jamvini hii ni...
Guys,letc be honest on this one. We all know dat mwamba ngoma ngoz huvutia kwake but lets be honest n speak the truth. Usiseme just kutetea jinsia yako,naomba 2wekane wazi kuhusu hili swala kwamba...
Nimekutana na threads kadhaa ambazo wadau wanalalamika kuwa wamegundua kuwa walio nao wana wapenzi wengine hivyo wanaomba ushauri. Nimeona niianzishie thread kabisa, ili lijadiliwe upya.
Kwa...
WIVU!!
Wivu uko kila mahali...kwenye mapenzi...kati ya marafiki...kati ya wafanyakazi na wanafunzi wenza...ndugu na hata maadui.
''Wivu ni kidonda ukizidisha utakonda.'' Ndivyo tulivyokua...
Huwa napenda kumsapriz my waif na vijizawadi sometimes. Leo nimeona nimpigie sim nimuimbie wimbo mzuri wa kuliwaza kimapenzi wa zamani. Nimejaribu kuwaza hapa lakini kila ninaowaza haujakaa kivile...
Wadau niliwahi kutendwa kama mara 2 hv kiasi kwamba niliapa ctakuja kupenda tena.Nimedumu bila mpenzi kwa miaka miwili bt last 6 months kuna girl nimempenda sana tena nimevumilia bt mwezi huu...
Naomba msaada Great Thinkers!
Kuna baadhi katika jamii wanaitwa Malaya...lakini wenyewe jina hilo hawalipendi asilani.
Sasa najiuliza kwani ni vitu gani ukifanya ndio unakua Malaya?
Mod naomba...
HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI YAKO.
Hilitokea siku moja wakati Mr Martin na mke wake Joyce
Wakiwa wamekaa kweneye kiambaza cha nyumba yao huku wakibanika kuku.
Ndege aina ya KUNGURU akaruka...
Ni rahisi. Wanaume wenye 'gene' ya DRD4 wamegundulika wanatabia za kucheat, uncommited sex na uhuni wote.
So, wadada, chukua kitu chochote cha mwanaume wako kama mswaki, kitana, (ambavyo...
WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha...
Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa.Mungu akupe maisha marefu ya furaha na yenye baraka tele,
Furahia siku yako ya leo kwa upendo na amani! Tupo na wewe pamoja! Mungu...
Habari wana JF!!
Nilitokea kumfahamu X boy friend wa mke wangu baada ya kupita miaka mitatu ya ndoa yetu kwani alirudi kwake akiwa na nia warudiane but akakuta ameolewa na mimi so ikashindikana...
Inaonekana kama ni story ya kufikirika na ni ngumu kuamini lakini imetokea huko Pittsburg,Fayette County Illinois. Travis kijana mwenye umri wa miaka 25 alikua ameketi na mpenz wake Nicole kwnye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.