Leo hii asubuhi nikiwa ktk daladala, niliwasikia akina dada wanaongelea mambo yao ya jana usiku, mmoja akiwa anamweleza mwenzake kuwa, baada ya kuona jamaa anamwangalia kwa ishara ya kumtamani, na...
suppose una rafiki yako wa jinsia tofauti ambao urafiki wenu goes way long back. Mnashare everthng 2gthr,always mko pamoja mpaka watu wengine wana fikiri ni mtu na mpenz wake. Wewe unamshirikisha...
He met her at a party.. She was so beautiful, many guys were chasing after her, while he was so plain and simple, nobody paid attention to him.
At the end of the party, he invited her to have...
Napenda kuchukua fursa hii kwa upendo wa dhati kabisa kukutakia maisha mema na marefu kwa siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akupe nguvu, hekima, uwezo, na afya njema kwa miaka zaidi 100000 ijayo...
Ndungu, jamaa
marafiki na wapendwa
wote wa jamii forum
Daaahh
wiki ya machungu
wiki hii nimeshuudia poster
Nyingi za wana jamvi wakielezea
kwa undani nini kilicho wasibu utotoni...
Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....
Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity'...
Kuna thread inauliza mkoa wenye wasichana/wanawake wazuri. Mbona watu hawaulizi mkoa wenye wanaume wazuri?? Kwa swali hili, mimi naanza kujibu ni MKOA WA MARA.
Habar zenu wanathnker kwa muda kidogo nilikuwa nipo off air hii ni kupambana na hal ya maisha ya hapa na pale ili kutimiza kaul ya wazir kila mtu atakula kwa jasho lake. 2achane la hlo kubwa...
Jamani ivi inakuaje,unakuta mwanaume mtanashati una mvuto,nadhifu,maridadi etc. But kila unapojaribu kumuaproach mdada fulani unajikuta una kula kibuti? Halafu,hivi kwanini siku hizi mapenz...
Habari zenu wana JF
Mm ni mwanamke , nimelelewa vizuri na wazazi wangu wote wawili, nimesoma nina advance diploma ya IT na kwa sasa naongeza ujuzi wangu ktk chuo cha IFM.
Nimeolewa na nina...
Naomba munisaidie ni fanye nini ili nipate mke?
Mimi nimekuwa nikitafuta mke kwa miaka mingi sasa ila cha ajabu kila mwanamke ninayedo naye huwa analia sana.nilizani ni kwa7bu ya raha anayopata...
Sudden bursts of physical activity - such as having sex or jogging - significantly increase the risk of having a heart attack, a new study has found.
People are 2.7 times more likely to have...
Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!
Wanajamvi habari zenu,kwa kweli huu wimbo niliupenda toka nikiwa mdogo,na nimekuwa nikiuimba kwa kukosea kosea ila ujumbe wake kwa kweli ni funzo. kama kuna mwenye kuufahamu woote naomba anipatie...
Naomba ushauri kwa hili wana jamii.
nina urafiki wa kimapenzi na msichana ambao umeduma takribani miaka 5 sasa,
lkn kulitokea matatizo ya mm kutokubalika upande wa mama yake haswa baada ya kupata...
Wajomba ndoa si lele mama, unapokua umeoa/olewa ujue kua ndoa inatengenezwa na tendo la ndoa(sex) bila hivyo inakua ndoano. Kila mwanandoa inatakiwa akate kiu ya ngono kwa mke/mme wake, hivyo...
Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!
Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.
Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.