Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

It got crowded in heaven, so, for one day it was decided only to accept people who had really had a bad day on the day they died. St. Peter was standing at the pearly gates and said to the first...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kuna kitun kinacho nitatiza hasa katika mahusiano. utakuta kama mmekaa na mke wako au mme wako kwa muda mrefu bila kugombana wala kufumaniana , lazima ataanza mmoja kutafuta visa vya bila mpango...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndg zangu naomba kuwasilisha hii mada. Kwa kifupi ni kwamba kuna jamaa yangu ana gf wake na wamekua kwenye mahusiano kwa muda wa 3 yrs. Mwaka jana Oct yule gf ali-conceive, baada ya miezi 2 kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ingawa ni miaka mingi imepita na najua watakuwa wamekwishakuchakachua......ila jua tu kuwa tunakupenda, tumekumiss na tunajiuliza ni lini utarudi JF. Happy Birthday My heartmender!! MUNGU...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha
1 Reactions
25 Replies
3K Views
ETI WANAWAKE WANAWEZA....HAYA SOMENI WENYEWE HAPA.... SIJUI HII NI AIBU YA WANAWAKE PEKEE YAO, AU YA WANAUME PEKE YAO, AU YA KWETU WOTE, BUT NI AIBU KWA KWELI..... 45% ya Wanawake wenye...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Wanajamv, heshima mbele kama tai. Jamani naomba kuuliza hv kumjua hali jirani yako ni umbea au? maana cc kidini tunatakiwa tuwapende majirani zetu kama tunavyojipenda na bado Twanga pepeta...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni mbinu zipi za weza kutumika kumjua mtu mwenye zaidi ya mpenzi mmoja kwenye ndoa? Au mwenye nyumba ndogo? Tusaidiane. Nimejaribisha kusoma hapa sikupata jibu la uhakika. Zinaweza kuwa njia kuu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam wanaMMU! Naomba niwaulize kitu.. Wote tunajua kila mahusiano hua yanakua na kiasi chake cha ugomvi!Kuna ule ugomvi ambao unamwacha mtu akifikiria kwamba mwisho wetu umefika...unakuta mtu...
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Wanandugu wapendwa hope mu wazima.. Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga...
0 Reactions
250 Replies
17K Views
only B.O.G can read this
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima wakuu... Kuna jamaa yangu ambaye tumekuwa pamoja nikiwa na maana michezo ya utotoni na shule ya msingi pia tumesoma darasa moja kule kijijini kwetu. Amekuwa kama ndugu maana ndiye...
0 Reactions
191 Replies
13K Views
Jamani naomba ushauri wenu. Kutokana na mvua za jana ukuta wa nyumba yangu umeangukia kupande wa jirani na kuharibu tenki la maji. sasa nasikia ameenda kushitaki serikali za mitaa. Je kesi kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ninae rafiki yangu mzungu (mjerumani) anishi Berlin. Rafiki yangu huyu ameolewa na jamaa kutoka magharibi mwa Uganda (Mbarara). Kwa bahati huyu rafiki yangu wa kizungu alipata mimba na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana nilialikwa kwenye sherehe na rafiki yangu. Tukiwa tumekaa kwenye maakuli na kunywa kwa sana nikamuuliza rafiki yangu huyo vip mwenye sherehe ni nani yako akaniambia ni Ex wake nilishituka...
6 Reactions
286 Replies
15K Views
Niliwahi kuwa na BF miaka kama mitano hivi imepita tulipendana sana lakini ikaja swala la dini tukashindwa kuoana yeye alioa dini yake, baada ya kutaka kuoa nilimwambia sina jinsi wazazi hawataki...
0 Reactions
80 Replies
6K Views
Inasikitisha sana dada zetu wamekuwa wakipata ushauri unaochanganya kiasi cha kufanya vitu vya ajabu ili kuwavutia wanaume. Kibaya zaidi ushauri huo unatolewa na wanawake wenzao kwenye majarida...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani msinitoe roho, ni mtazamo wangu tu,na wewe unaweza kuwa na mtazamo wako pia. Toka nianze kuijua JF, naona post nyingi tu za watu wanaotafuta wachumba,wake kwa waume. lakini most of them ni...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Naomba kwa atakayeguswa na hili anisamehe nimelileta hapa kwa manufaa ya umma! Taarifa ya tiba ya babu imeleta tatizo lingine kwenye mahusiano .Baada ya couples kadhaa kudanganya kuwa wanaenda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini...
0 Reactions
179 Replies
22K Views
Back
Top Bottom