Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha...
Habari mabibi na mabwana wa baraza,naamini mpaka unasoma uzi huu basi utakuwa umzima wa afya.Kama sivyo nikupe pole.
Leo ninataka niwaletee hii mada ambayo inaweza kuwa namitazamo tofauti kwa wana...
Ukiwa umepakia mshikaki kama hivi dah na upo kilaji mbona Chuda jirani.
Hapo ukumbatiwe na binti dah unaweza ukaona speed ya 120 ndogo
Tuk tuk inaraha zake jamani.
mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
huu ni...
salaam wapendwa.
jamani hivi ni kweli wanaume wengi walio na umri kuanzia miaka 40 kwenda juu, uwezo wao wa kufanya mapenzi ni mdogo?
Mfano, aki do mara 1, hawezi tena mpaka mwezi upite or...
Kwanza ni salama,haina gharama zozote zile,inaridhisha mnoooo, na wazungu saiv wametuletea ze so kold TOIZ kama umechoka tumia mikono yako.
Save life .. Stop AIDS.
Ni weekend tulivu ya last week nilikuwa napiga moja moto na moja baridi pembeni kulikuwa na bulaza mtanashati na mrembo pembeni yake.
Simu yake ikaita akawa kapokea ili amdhihirishie mrembo wake...
Na Tu discuss hiyo Title hapo Juu Jaman,
About three of Rafiki zangu wametokea kuambiwa hiv na Wadada wanaowapigia Misele..
Mmoja wao ndo alienda Mbali kidogo na huyo Mdada,mdada alionesha dhahiri...
Wakuu,
Nimefanya kautafiti kangu kadogo kwa kuanzia na marafiki zangu na watu walio karibu na mimi na nimegundua wanaume wengi kabla hawaja Engage wanakuwa wamechovya sehemu nyingi sana...
Wanandugu hope mu wazima,
Hivi tofauti ya haya maneno ni nini?Nakupenda Nakutamani, Nakuhitaji.
maana ya maneno haya matatu kwenye mahusiano ni nini?
Kuna shosti wangu analalamika kuwa mchumba...
Nina mshikaji wangu mmoja hivi. Tunaelewana sana ila ana shida kidogo. Anapenda totos kwa sana. Tatizo lake ananambia kuwa akido tu nje mywife wake humuuliza kesho yake jana ulikuwa wapi na nani...
Popobawa akikutembelea eti lazima umtaarifu mkeo au mumeo au hata watoto kuwa umetembelewa ndio aache mchezo wake na kuhamia kwingine.Je kuna ukweli wowote!!!Kuna mtu mwenye taarifa sahihi au...
Mshua kagomakabisa nisitinge Loliondo, kila nikimstua ujue ananipa zipi? Niweiti mpaka amalizane na projekti flani ambayo inamfanya awe bize sana.
Sasa basi...
Washua kama hawa ujue ndio...
Ajinusurisha polisi kwa kujeruhi mke kwa wivu wa kimapenzi
Friday, March 18, 2011 10:38 AM
KIJANA mmoja jina kapuni [34] mkazi wa Yombo amejinusurisha kituo cha polisi baada ya kumjeruhi mke wake...
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.
Hivi inaingia akilini miaka minane No...
wasalaam wanajamii!! mimi nimekuwa nikijiuliza sana jinsi jamii yetu ambavyo imekuwa ikibadilika kwa kasi ya ajabu hata kwenye maswala ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla haswa kwa kuiga tamadduni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.