A couple that has been married for 20 years were both recently diagnosed with diabetes.
Findings later showed that they both contracted the disease as a result of the names they called each...
Wana JF nawasilimu wote. Kwanza samahanini maana hii najua haitawahusu wote maana hapa tupo watu wa dini na mitazamo tofauti. Jana nilienda kwenye mkutano wa Mwakasege na nilipata mafundisho...
Natumaini nyinyi ni wazima wa afya. Naombeni unitatulie ili jambo kwa kunisaidia kwani nina girl friend siku nne zilizopita kaniambia anaisi ana mimba ila mimi ninamashaka kwani ameniambia haoni...
Nashindwa kufanya maamuzi.nisaidieni mawazo.yanisaidie kufanya maamuzi. Nina wasichana 2,mmoja ni mchumba wangu,uchumba wetu una miaka 3 sasa,na tumetoa zaidi ya mahari.nilimpromisse kumuoa mwaka...
Ukistajaabu ya Musa utayaona ya ....
Kuna jamaa huku Shinyanga amefumwa akinadi viungo vya mke wake baada ya kumchinja, amekutwa na kichwa, matiti pamoja na kikojoleo.
Kibaya zaidi alikuwa ananadi...
ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati.
mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana...
"Pale" aliponiuliza, miye niliona vibaya kutomjibu, na nilimjibu kwa namna yangu. Nilizidisha idadi ya wale niliowahi tembea nao mara mbili ili kumwona kama atavumilia na kuhimili kishindo cha...
Je umesha wahi kupewa cheo kazini kwa walioajiriwa?
Ukipewa cheo kazini inakua kama vile ndiochanzo cha kutengana na wenzio. Ukiwakuta wanapiga story na ukijiunga nao (wakati wa lunch time kwa...
Mambo vipi wana JF??!!
Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!
Tatizo...
Habari Wapendwa.
Nahitaji jinsi ya kumwambia huyu binti ili aelewe lakini sijui nitamwambiaje?msaada tafadhali.
Yuko kwenye ndoa anatimiza mwaka wa tatu sasa.ila kabla alikuwa akiishi na huyo...
Habari zenu wandugu wa jf! Juzi boss we2 kamfukuza mfanyakazi mwenze2 kazi ni sawa? Kwa kifupi huyu mfanyakazi alimpigia sm mume wa mwenzake wanaofanya kazi secta 1 ofis 1 na kumwambia kwamba et...
Jamani kwenye birthday yangu 14/3/2011 moja kati ya zawadi nilizo pewa ni inaitwa halwa!!!!
Noamba anaejua inasaidia nini maana huwa naisikia kwa watu wa pwani na sijui ni nani alinipa maana ni...
Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Firauni. Shemeji yaangu mwenye Umri wa miaka 28 ambaye amekuwa kwenye ndoa ya miaka 5 na kakaangu, hivi majuzi amemtoroka mumewe, bintiye wa miaka miwili na hata...
Unampenzi wako lakini inatoke hapo alipo mpenzi wako unamwona ndugu yake wa kike lakini kimtazamo unamwona wakuchukulika kirahisi kutokana na vitamaa vya vitu vidogo,mara anakwambia shemu simu...
Ndoa au Mahusiano Yoyote ya Kimapenzi ni mfano wa Bank Account tulizonazo.
Unapopata mwenzi wako ni kama vile umefungua Bank Account na katika kuendelea na maisha au relationship kila siku...
mke wangu akifanya kosa,.hapendi kuambiwa,nikimwambia ananuna wiki nzima,nikicheki simu zake nakuta msg za mamake akimpa pole na ushauri kana kwamba nimekosea kumwambia makosa yake,tena pasipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.