Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kamwe ubinadam hauwez kupimwa kwa kua na wanawake weng au kua na wanaume weng
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna watu huwa wanapat vigugumizi katika mambo haya:- Mosi: Unakaa mahali na wanawake,siku mdada amefua na kuanika nje nguo zake za ndani,Je inaruhusiwa kama imeanguka kumuinulia au kama mvua...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Katika kuifikia Tanzania isiyokuwa na ukimwi kama kampeni iliyozinduliwa na Mhe. Rais miaka michache iliyopita "Tanzania bila ukimwi inawezekana" ninapendekeza kiapo cha ndoa kiwe namna hii:-...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Jamani kama ni wewe ndiyo umeambiwa hivi utafanyaje mwanzoni "...inaumiza hata kukueleza mpenzi, najua utalia ukickia, ni siri ambayo niliificha kwa muda mrefu, ni kwamba mwenzio nimeathirika na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena...
1 Reactions
277 Replies
17K Views
It may sound ridiculous to say that a total man has a woman in him. But I’m referring to the womanly qualities in a man. Those admirable behavior of a woman that a man can borrow a leaf from...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu za usiku huu wanajamvi, Ni hivi mimi nina My girlfriend wangu ambaye teyari ana mtoto na jamaa mwengine,ila huyu mtoto wake hajatulia kwa kweli na huyu mama yake simuoni kuchukua hatua...
0 Reactions
151 Replies
12K Views
Wana Jf kuna jirani yangu hapa Mtaa wa maweni ni bomba sana, midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni, Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Kwa asili wanaume wanapenda sana kuwasikia wake au wapenzi wao wakikiri kuwa wanawapenda na kufurahia tabia zao nzuri wema walio nao, vipaji walivyo navyo na sifa nyingine lukuki. Wanaume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepitia taarifa nyingi juu ya tiba zitolewazo a huyu Babu wa Loliondo....................mlionyeshewa mvua zake hebu mtupashe habari...................zaidi...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
habari yenu JF! Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana. Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo...
0 Reactions
91 Replies
6K Views
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Hela hazilali so ukilala ni wewe tu na zina kazi ya kutengenezwa na hazikungoji uamke mkuu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika khali icyo ya kawaida ucku wa kuamkia leo nimejikuta nikimuota mama mwenye nyumba nikiibanjua amri ya 6.na wakati nimeamka nakwenda mawaliton nikamkuta uani nikajkuta nainamisha kichwa kwa...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Jamani samahanini wanajf hivi huwa najiuliza kama mwanaume kuwa ugonjwa wa kisukari ukikupata mwanaume mambo huwa hayaendi (jogoo inawezekana akawa hapandi mtungi) na kufanya sex kiujumla inakuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa?? Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal.. lakini we unahisi uko...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
When you go fishing and you catch something, that's good. If you're making love and you catch something, that's bad. Fish don't compare you to other fishermen neither and don't want to know...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Find few minutes to read this beautiful story...It´s never late, you can save your relationship! When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I've got something...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota. Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
MUME MWANGU SI MWAMINIFU KABISA NA DAWA YA BABU AMESEMA UKIWA NA NGOMA UKINYWA IKATOKA UKIRUDIA NGONO OVER..HAYA NDOA VS BABU AMBILIKILE Wakati Mchungaji akizungumzia hilo, mwanamke mmoja ambaye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom