Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wana Jamii shaurini, Ndugu yangu anampenda msicana mmoja ambao wote ni wadogo 1st year chuo.Cha ajabu yule msichana hamtaki lakini jamaa analazimisha hadi amewahi kutaka kujiua.... Cha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dear Wana MMU, Habari za siku kadhaa......nimewamiss sana wapendwa! Natumaini wote mu wa zima Nimekuwa nikisikiliza Powerbreakfast ya Clouds kwa siku kadhaa sasa (Tangu issue ya Babu wa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mjukuu wangu wa kwanza, Mjukuu Mtiifu salamu. Mimi babu yako, kwaniaba ya wanajamvi, wapwa na wajukuu wenzako wote nimekuja hapa hadharani kukupongeza kwa dhati na upendo mkuu kabisa. Miaka...
0 Reactions
107 Replies
8K Views
mimi ni baba wa familia(nimeoa) kabla ya kuoa nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambae nilidumu nae kwa miaka mitatu hivi. nilipokuwa tayari kuoa nilimtaarifu mwenzangu kuwa nataka kujitokeza kwao...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Katika vitu vinavyonipa wakati mgumu kwenye mahusiano ni kuombwa picha eebwana inanipa taabu sana.nakumbuka mala ya mwisho kupiga picha ilikua namaliza standard 7 sasa akiomba picha inabidi...
0 Reactions
93 Replies
20K Views
Kuna wakati unaweza kumkuta mtu yupo kwenye mahusiano yenye kila aina ya karaha na unyanyasaji lakini bado yupo tu na wala hafikirii kuondoka.Unakuta mtu...
0 Reactions
84 Replies
11K Views
Siku hizi vijana wengi hasa walio soma ushaurina eti lazima kutafuta mwenzi aliyesoma,kwa kuangalia sababu za kiuchumi, tatizo kwangu sijaweza kuelewa kuwa na msicha unaye mpenda mpaka kuzingatie...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ile siku ya kwanza umeahidiana na mwenzio kwenda kula tunda aka kuchakachua ulikuwa unawaza nini?Hadi leo ukiwa na ahadi hiyo huwa unafikiria nini katika kuifikia shughuli yenyewe hasa ukiwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu JF , Rafiki yangu wa karibu sana na wa siku nyingi yupo kwenye matatizo makubwa . Miezi minne tu baada ya kufunga ndoa na shamrashamra nyingi sana za kukata na shoka .ilibidi atangaze ndoa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni Bint wa wa 23 Years old,anatarajia kumaliza chuo (UDSM) July 2011. Huyu mtoto mi mwenyewe ndo nimeonesha "DIRA",nimeanza nae tokea akiwa kidato cha sita, tumekubalia akimaliza tu Mwanaume...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
coat of many colors dolly parton Back through the years I go wonderin' once again Back to the seasons of my youth I recall a box of rags that someone gave us And how my momma put the rags...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
'I Just Shut Down' On the heels of her edgiest, smartest album to date, popstress Rihanna is gracing the March 2011 cover of Vogue. And inside the mag, she's offering her fans a peek into her...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii, Ni hivi nina mdogo wangu alikuwa anafanya kazi kwa hawa watu wa kushikashika bunduki sasa alikuwa anajifanya anawapinga sana mafisadi basi wakamtengenezea scandal na...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Mimi naamini elimu ni kitu cha msingi kwa mwanamke ili aweze kusimamia maisha yake mwenyewe, familia yake hata kukwepa manyanyaso yanayosababishwa na baadhi ya wanaume ndani ya jamii. Hata ndani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Kwa kweli hilo swali huwa linanisononesha sana. Nina umri wa miaka 30, sijaolewa, sina mchumba wala mpenzi yapata mwaka na miezi kadhaa sasa. Mdogo wangu anayenifuatia ana miaka...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Habari wanaJF! Dunia hii imejaa mambo kila aina...kila mtu anautashi wake..wengine wanatekeleza kwa usiri mkubwa...wengine wanayaweka bayana. Yoote hii ndio dunia. Sasa nlikutana na jamaa yangu...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
the biggest disease today is not leprosy or tuberculosis or Aids, but rather than the feeling of being unwanted...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni saa sita na dk hamsini na moja usiku. Nimejiegesha kupata usingzi wa mang'amung'amu baada ya uchovu na mawazo mengi, simu nimeishika. Mara simu ina vibrate na kutoa mlio. Nashituka na kuona...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari za mchana wana jf wenzangu!!!!!! Wengi tumeamini katika tiba anazozitoa BABU!!! Saratani, ukimwi, kisukari, shinikizo la damu. Nimekaa hapa ofisini nimewaza hivi, kuna hili tatizo kubwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wandugu wapendwa,natumai mko sawa popote pale mlipo. Nina swali moja tu fupi. Hivi inawezekana mtu akaacha kumpenda mpenziwe eti kisa kachanganyikiwa kutokana na kutakwa kimapenzi na viumbe...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom