Naangalia tuzo za music za kilimanjaro.Wasanii wengi wamewakumbuka mama,na wametoa tuzo zao kwa mama zao,hata kama amekufa pia.Ila mi ninachojua mafanikio ya mtoto na familia bora inategemea sana...
Nimegundua wanaume wengi tuingiapo ktk mahusiano mapya mara nyingi hutumia kondom lakini ikishafika wiki nakuendele ujiripua!!Na hata saa nyingine hutumia kondom Bao la kwanza yanayofuata...
Jamani sina maneno mengi kuhusu suala hili manake hata wewe msomaji inawezekana umeshuhudia wanawake wa wahindi wanavyovaa magauni ya na kuacha tumbo na vitovu nje nje. Kama huo ndiyo utamaduni...
Heshima wakuu wa MMU.
Jana nilienda na mamaa Nyumba ya wageni kuchunguliana vile vilivyotufanya tuwepo hapa Duniani. Wakati tunafanya maandalizi ya hapa na pale ghafla akiri yangu ikanituma...
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona...
This is a very true story of mine. It happened 2me a couple of months ago n if kuna m2 pia has gone through the same path ningependa views zako kwnye jukwaa. See,i met ths girl chuoni,she saw me...
Hi wana Jf MMU, tunaongea habari nyingi sana, mikasa ya mapenzi,ugomvi na kadhalika.Nimeona sio mbaya pia niwakumbushe wote leo ni jpili si vibaya tukakumbushana Kusali, kutoa kwa maskini, na...
Hello guys once again. The topic sounds a bit funny n weird but letc face it. You have a lover hu happens to be more attractive than you. He/She makes people stare at him/her wherever yo guys r...
Rafiki wangu wa karibu sana amenieleza tatizo lake nikaona si vyema kulileta hapa kwa wahenga kwani palipo na wengi hapaharibiki jambo.
Anasema ameona na mkewe ndoa ya Kikristo miaka 10 iliyopita...
Jana bwana yamenikuta!! wana jf !na ubabu wangu! jana nikashikwa nikashikika nikajikuta nakula chakula nilichokuwa sitarajii kamwe!!Nikashikwa mkono babu babu mala nikaona wameanza kula vitunguu...
Kila siku tunaongelea mapenzi tunasahau watoto....embu leo tuwe kifamilia zaidi.
Leo kuna kipindi nlikua naangalia kikanisikitisha sana.Kuna mwanamke yeye anamwadhibu mtoto wake kwa kumnywesha...
Mpenda wanawake alikuwa kasimama nyuma ya demu ktk foleni ya kununua mikate.. Jamaa akamwambia demu: Mrembo bora nikuoe upumzike na hizi foleni za kila siku! Demu akamuuliza jamaa: Je una mke...
Young at heart or old before their time? How men feel over the hill at 58, but for women it's 29
Women consider themselves old at 29 half the age of men who dont feel over the hill...
Wakuu, poleni na shughuli za hapa na pale za kujipatia liziki zenu, Naomba ushauri wenu kwani nipo katika mtihani mgumu, nimekuwa nikichat na msichana mmoja ambae ni mtanzania anayeishi Uganda kwa...
Asalam aleikum!!!
Bwana Yesu asifiwe!!
Nimesoma thread ya Lizy kuhusu unyanyasaji wa watoto ikanikumbusha mbali sana, hakika imenitoa machozi!!
Nakumbuka miaka ya nyuma sana wakati nikiwa na...
Kuna vile vigezo ambavyo ni common 2evrybody lyk mcha Mungu,tabia njema,mwadilifu,mueledi,mchesh,mpole,muanifu etc. But kuna kile ambacho wewe unahis kinakufanya umchague yule na si yule. Here am...
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.
MOMBASA, Kenya (Reuters) - Bethan, 56, lives in southern England on the same street as best friend Allie, 64.
They are on their first holiday to Kenya, a country they say is "just full of big...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.