Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu. Huyu jamaa kuna siku juzi...
11 Reactions
114 Replies
8K Views
Hawa viumbe bhana, acheni tu. Ukiwakuta wamezungusha kiduara cha umbea majumbani, kwenye mikutano, ama saluni, kinachozungumziwa humo ni mapenzi pekee. Hawana kingine cha maana cha ku-share Kila...
3 Reactions
4 Replies
354 Views
Mwanzon nilimpata mwanamke nikamuoa na tukazaa watoto, kiukweli nilimpenda sana kiasi kwamba asiponitafuta nikiwa mbali kwa nusu siku nitaumia sana. Basi alivyoona nimedata sana kwake akawa kiburi...
4 Reactions
11 Replies
720 Views
Ni kweli kuna baadhi ya wanaume na wanawake wana udhaifu ambao pengine hufanya ndoa kuwa na changamoto nyingi, lakini changamoto hizo haziondoi umuhimu wa ndoa. Ndoa ni chimbuko la maendeleo ya...
1 Reactions
10 Replies
521 Views
Ukitaka kukutana na uvundo usioelezeka, basi tafuta demu mwenye umbo la tembo. Utajuta kwann ilimtaka. Kutokana na mijasho inayomwagika hovyo mwilini fungus wametapakaa kwenye mikunjo na...
12 Reactions
64 Replies
3K Views
Mavazi haya ni ndoano ya kuvutia wanaume wengi kumuona mwanamke ni koloni lisilo na mtawala, kwamba bado yupo sokoni hana mme ama ana mme ila bado anataka attention ya wanaume wengine.
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa. Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside...
21 Reactions
86 Replies
3K Views
Mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Daniel Mgogo ameorodhesha sababu mbili kuu ambazo zinaweza kumfanya mwanaume asimsaliti mpenzi wake katika ndoa na kuchepuka. Katika video ambayo Mgogo alipakia...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu suura.... Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina wasiwasi anataka kunimaliza. maana alinikuta nina 73kg sasa tayari 4kg zimeshapungua Haiwezekani huyu demu anataka kunimaliza maana naona mwili unaisha mwenyewe tu. Anaweza kutaka mtiane...
14 Reactions
102 Replies
6K Views
Bila shaka mpo kwema! Vijana, ukiona upo na mpenzi, mchumba au mke ambaye mkigombana kidogo analeta vitisho vya kitoto. Wakati mtu mzima hatishiwi Nyaya. Mmegombana alafu ati anajikusanyisha...
17 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali...
2 Reactions
11 Replies
643 Views
Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana. Pia wanawake si kwamba...
2 Reactions
19 Replies
776 Views
Habari za asubuhi wana JF Bila kupoteza muda, moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwanini watu waliooa wanahangaika na watu wasiooa? Mwanaume asiyeowa anaonekana kuna jambo analiepuka bila sababu...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa...
74 Reactions
227 Replies
11K Views
Hii ni kwa ma men. Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila...
2 Reactions
15 Replies
694 Views
Wakuu poleni na msiba wa lowasa na hongereni kwa maandamano ya chadema mwanza. Kuna mdada anafanya kaz ya saidia mapish yan kwa mama ntilie kaz yake n kupeleka oda kwa wateja, wapo jiran na ofsn...
1 Reactions
17 Replies
706 Views
Ni jambo la kihisia mno, jambo lililo ndani ya moyo kabisa lisilotoka na ambalo hujirudiarudia kila Mara! Ni kuhusu wema uliowahi kutendewa na mtu baki halafu ukaahidi kimoyomoyo kumlipa lakini...
34 Reactions
249 Replies
36K Views
Ushauri wenu ni muhimu sana. Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu...
43 Reactions
2K Replies
317K Views
Back
Top Bottom