Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya. Ni...
11 Reactions
175 Replies
8K Views
Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda. Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men. NDOA NI MKATABA WA KISHERIA Marriage is a legally binding...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama...
53 Reactions
496 Replies
17K Views
Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja...
1 Reactions
2 Replies
367 Views
Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu...
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Ukipitia accounts zao kwenye mitandao ya kijamii ni mwendo wa 'Asante Jehova' hawaposti nyimbo za kidunia wao ni gospal kwa kwenda mbele. Kujisnap wanaimba vijimbo vya kusifu na kuabudu. Jumapili...
28 Reactions
73 Replies
4K Views
Wakuu kwema Siku kadhaa nyuma nikileta Uzi wangu hapa nawezaje kuchomoka mtego Wa mademu zangu wawili.. Demu alikuja Wa Chuo nikaanza kumwambia mbona hujaja bila taarifa nikaanza kumfokea na...
2 Reactions
12 Replies
639 Views
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short...
33 Reactions
191 Replies
24K Views
Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna...
21 Reactions
91 Replies
5K Views
Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi. Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea...
19 Reactions
92 Replies
5K Views
Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi. Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani...
41 Reactions
125 Replies
7K Views
Hivi ni vifaranga vya ndege vilivyofariki kwa njaa vikiwa ndani ya kiota baada ya kumsubiri kwa muda mama yao awaletee chakula lakini kumbe mama yao alikuwa ameuawa na mtu asiyejua umuhimu wa uhai...
12 Reactions
18 Replies
765 Views
Hi guys, Hope mpo sawa, Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na...
21 Reactions
160 Replies
10K Views
Mambo yamebadilika wakuu Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba. Ila nyakati hizi mambo yamebadilika...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom