Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
siku zote mtu analala kwenye shuka chafu, siku akija mwanamke ndo anafua (wendawazimu). Anakula chakula cha ajabu, siku akikutaa na mwanamke ndo anatumia hala kula chakula kizuri (ujinga) anajua...
3 Reactions
2 Replies
286 Views
"Kwa Mila zetu Wachagga ni kwamba Mwanamke yoyote yule wa Kichagga akiolewa licha ya Kumzalia Watoto huyo Mumewe lakini pia anatakiwa Kuchanganya Damu ( Kuzaa Mtoto wa Nje ya Ndoa ) ili ikitokea...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakuu natumaini tuko salama na shughuli za kila siku Usichoke kusoma.... Niliwaza kuja na ID mpya ila nikakataa sababu wanaonifahamu ni wawili tu hapa na tulifahamiana hapahapa Kitambo nilikua...
50 Reactions
206 Replies
40K Views
Salaam ndugu zangu kaka na akina dada, naomba kuuliza; hivi ni kweli mwanamke anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni hawezi kukuomba hela? Akina dada hivi unaweza kumuomba pesa mpenzi wako...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa uchunguzi wangu mdogo hii imeshakuwa shida kubwa kwa ndoa nyingi sasa. Watu wangu kadhaa wa karibu wamenilalamikia. Wanaume ndo wamekuwa wahanga wakuu wa kugomewa penzi na wenza wao. Unakuta...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari. Wanawake wa dunia ya leo sijui wamekuaje, wanatuita sisi wanaume wote ni umbwa, sawa mmeamua kutuita hivyo je kama sisi ni umbwa hao watoto ni wa nani na wewe ni mtoto wa nani maana hata...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama. Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao. Kwa...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Ilikua ni mwaka jana miezi ya jioni ndio nilipo fahamiana na huyu binti. Mara nyingi mimi situmii shobo au hela kuwapata hawa viumbe. Na sio kama sitamani au siwapendi nawatamani na kuwapenda...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu... Ndugu yenu nimenyetuka sana , ni muda mrefu sana na nyetuka lakini kuacha nimeshindwa kabisa, unakuta nipo na mademu zangu napewa utelezi huku na huko lakini bado na...
28 Reactions
149 Replies
9K Views
Ndugu mtanisamehe bure hakika. Mawe na milima imegoma kutusemea, hata miti ipulizwapo na upepo mwanana imegoma kutusaidia kusema, kuta za vyumba vyetu na vitanda navyo havitaki kusema huu ukweli...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu. Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Nlikuwa mkoa fulani kikazi two days ago. Soon baada ya kutoka nchi za watu nikafikia huko. Huwa mara nyingi nafikia hizi Hotels zetu za 3 au 5 Star. Basi nimejiandaa siku hiyo naingia kwenye lift...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Kwa masikitiko makubwa wanaume wengi wamekua wakipitia magumu kutoka kwa wanawake wanaojiweza kiuchumi sana kuwazidi wao. Wanaume wengi wamekua wakinyanyaswa na wanawake...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa heshima kubwa kati ya watu walioa/kuolewa na single maza/father na wale walioa mabinti huwa wanaona mafanikio au maendeleo yenye tija kwenye kukuza uchumi . Walipo watuamishe wengine ili...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Kila mara mnalalamika na kufungua nyuzi za kusema wanawake wanapenda watu wenye pesa na uwezo mkubwa,nimekuwa nikiangalia kuna watu kama watatu wana uwezo kipesa na kiuchumi wapo Poa ,ni wale...
12 Reactions
81 Replies
4K Views
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua wanawake wa mkoa wa Kagera wanawapenda sana wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo na intermarriage ya makabila wanawake wengi wa mkoa wa Kagera...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
STORY: MPAKA KIELEWEKE MTUNZI: NIRA SAIRE SEHEMU YA KWANZA Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo lile la ugenini nikiwa busy kwenye simu yangu huku nikiongea na mke wangu...
16 Reactions
225 Replies
74K Views
Kipindi linatokea hilo tukio mimi nilikuwa ni mgeni kwenye hiyo mitaa kuna biashara yangu niliihamishia huo mtaa. Nyumba niliyokodi frem nilikuta yeye akiwa tayari anabiashara hapo, nilihamia...
1 Reactions
27 Replies
982 Views
Back
Top Bottom