Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu nisiwachoshe msinichoshe Jamaa ametuijia leo akiomba msaada wa ushauri, tukasema acha wengine tuingie hapa, mshikaji kampenda mwanamke lakini hamjui vizuri, sisi tunaishi na mwanamke nyumba...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
2 Reactions
3 Replies
519 Views
Ndugu wanachama na masenior , magavana na maseneta wote tuliobarikiwa kujielewa kwamba katika ulimwengu wa kibepari kuoa na ndoa ni adui wa maendeleo ya kiuchumi. Karibu tufanye mjadala wa...
6 Reactions
9 Replies
400 Views
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi: "Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine...
25 Reactions
93 Replies
4K Views
Kwema wana JF, Leo sina maneno mengi ila nipo hapa kuwaasa mabaharia wenzangu kuwa wanawake wengi wa JF ni butu sana na wanapiga mizinga vibaya mno. Ndugu ukitongoza mwanamke wa JF anakuvuta...
71 Reactions
2K Replies
42K Views
Unatakiwa Umzidi Mke Wako Mambo Matatu 1. Umri 2.Akili 3.Pesa Mke Wako Anatakiwa Akuzidi Mambo Matano 1. Subira 2. Usafi 3. Mipango 4. Maombi Na Mnatakiwa Muwe Sawa Kwenye Mambo Matatu 1...
10 Reactions
15 Replies
733 Views
Miaka ya 2000 mwanzoni mimi Babu Njunju mzee wa kunjunja na kunjunjumila niliteseka sana mpaka nikafikia kujipa cheo cha master nyeto. cha ajabu ili nigairi kunyetoka hiyo siku husika basi niwahi...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu. Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza. Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna uzi nimeupitia hapa JamiiForums, na michango ya wadau ikanifanya nijiulize. maswali mengi sana. Uzi wenyewe ni huu Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa...
3 Reactions
7 Replies
873 Views
1. Futa namba za ma-ex wako wote 2. Hata kama umechoka ni marufuku kumnyima mke wako dudu 3. Unatakiwa umsikilize kwanza mke wako kabla ya watu wengine 4. Hata ule chakula nje umeshiba ukifika...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Kama ulikua hujui kuwa MWANAMKE huwezi kumridhisha wacha nikufahamishe. Hii hutokana na mwanaume kuhitaji vitu vingi kutoka wa mwanaume. Na vyengine hata mwanamke mwenyewe havijui huku mwanaume...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu, Mimi kama Mtanzania mwenye upendo juu ya nchi yangu huwa najiskia vibaya tukisemwa vibaya haswa na Wakenya au raia wa nchi zingine. Najua tuna changamoto zetu kama poor customer...
16 Reactions
147 Replies
4K Views
Yaani unakuta mtu kukataliwa kunamtia wazimu. Akishusha sound za kutosha halafu dada amkatae unakuta jamaa hachukulii kawaida hiyo rejection. Anajiona kama mtupu na kudharauliwa kinachofata...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Mimi kwa umri wangu nina uzoefu wa wanawake, ime date na wanawake wasiopungua 50 hii sio sifa wala sio kitu kizuri Mwenyezi Mungu anisamehe. Nimeanza ku sex kwa mara ya kwanza 1999. Nirudi...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo tuachane na pesa, tuongelee muonekano wa wanachopenda wanawake. Ila kabla ya kuachana na pesa wanaume huwa tunakosea saana kudhani wanawake wanapenda pesa tu. Common, mwanamke ni social...
25 Reactions
498 Replies
21K Views
Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake. Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada...
0 Reactions
8 Replies
650 Views
Ndugu na yasema haya kwasababu wanawake wasasa wanajikuta na wao wanahaki na wajibu wa kutafuta mwanaume jambo ambalo siyo la kweli kabisa na hazikuwa tamaduni zetu na kupelekea wanawake wengi...
2 Reactions
7 Replies
721 Views
Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna...
29 Reactions
217 Replies
8K Views
Back
Top Bottom