Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34)...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako, Kuna uwezekano mdogo atakuacha. Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako, Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi, Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka...
12 Reactions
201 Replies
11K Views
Nlikuwa na mahusiano na binti wa Kondoa huko, miaka 4 ya mahusiano alikuwa ni malaya wa kutupwa kila siku kazi ilikuwa ni kumfuma na matukio ya umalaya alafu kumuowa akawa ananipiga chenga...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu leo nimetembelewa na bint mmoja tulipotezana mwaka saa basi juzi katika kupitia phone book yangu nikaona namba zake nikamtumia msg na akanijibu na Kisha tukachati chat na kuniambia bado yuko...
8 Reactions
150 Replies
6K Views
Ndugu kwa masikitiko makubwa. Ipo nguvu iliyopo mioyoni mwa wazazi wetu, ndugu, jamaa na marafiki na hata wazee wetu kabisa ya kumlazimisha mara kwa mara kijana aliyefika 30+ kuoa pasi na...
4 Reactions
11 Replies
566 Views
Habarini, Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza. Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Viungo vyetu havihusiani na ugomvi au mgogodoro wowote uliojitokeza kwenye mahusiano yetu. Kunyimana tendo la ndoa kisa tumetofautiana kwenye kauli, kutokukupa pesa au majukumu mengine inakuwa...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi...
4 Reactions
20 Replies
910 Views
Nataka nijue Hotel gani hapa dar kwa kinondoni, Temeke, Makumbusho ambazo zina privacy 100% na bei isiyo ya kutisha isizidi 25k Elewa maana ya privacy!
8 Reactions
83 Replies
7K Views
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa? Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Kuna watu ambao wamechanganyikiwa, wanapinga ndoa, kwa ujuha wao, nawaomba vijana msiwasikilize hao majuha wanawapoteza. Wengi wao ni legelege, na hata tendo la ndoa hawawezi kwakuwa uume...
2 Reactions
10 Replies
355 Views
Habari za jumatatu wana jamvi. Naomba kuleta mrejesho kwa kile nilichowaahidi mwishoni mwa wiki iliyopita. Zoezi limefanikiwa kwa 100%. Kazi ilianza hivi, jumamosi jioni dogo alipata mwaliko wa...
8 Reactions
141 Replies
15K Views
Kanda ya ziwa kila nyumba ina msimbe mmoja au wawili maana yake sio wavumilivu kwenye ndoa au ni wakorofi kwenye ndoa zao. Ukija kanda ya kaskazini, Arusha na Moshi kuna wajane wengi hii maana...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanaume: Eeeeh eeh😎😎😎 mimi nasema: Wape Bia. Ninaamini mko poa wakuu hii mada ilibidi ikajadiliwe kule JF Dokta lakini hili jukwa lapendwa Nguvu za kiume now days ni big deal wakuu, kama huna...
8 Reactions
127 Replies
47K Views
Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umetengwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii...
34 Reactions
220 Replies
8K Views
Salamaaaa? Hivi ni sababu gani hupelekea wazazi wengi kupendelea wajukuu wa watoto wao wa kike kuliko wale wa watoto wa kiume.Je ni kutokuwa na uhahika wa wa blood kwa wajukuu wa watoto wa kiume...
1 Reactions
16 Replies
931 Views
Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake...
15 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwanza kabisa salamu wapendwa,Mimi ni mwanaume wa Miaka 26 naishi na Mama nyumbani. Tunaishi vizuri lakini kuna Baadhi ya mambo yananikera sana nikiwa nyumbani; 1 .Hii tabia ya mama kuingia...
24 Reactions
127 Replies
5K Views
Back
Top Bottom