Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ku date na mwanaume ambae umemzidi miaka 2 it’s very tough kwakweli, though he is so caring and showers me with love 🥰😘 ila naona ni watoto hawajawa matured. Ugumu zaidi unakuja kwenye ku get...
13 Reactions
122 Replies
6K Views
AMEPOTEA KISIWANI KEY WEST - 1 Umewahi kujua kwamba taa za barabarani huwekwa pia Kamera? Si kwa Tanzania, lakini katika miji mingine mikubwa taa za barabarani huwekwa Kamera ili ziweze kunakiri...
8 Reactions
112 Replies
4K Views
IMEANDALIWA NA *R.M - Professor of psychology Ohio state University-USA: Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi...
22 Reactions
69 Replies
13K Views
Jf wasalaam Sio Kwa ubaya tupeane Elimu tu. Mihemko na mjibu yasiyo Faa tujaribu kuyaepuka. Kila mtu atoe mtazamo wake. *MWANAUME MTU MZIMA:- Kusherehekea happy birthday party bila hofu...
18 Reactions
169 Replies
5K Views
1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na...
1 Reactions
4 Replies
611 Views
na pia kipo kilekile chenye page 206 au kuna edition zingine?...kama zipo naomba wadau mziweke hapa naona nilicho soma kina pages chache sana ukilinganisha na jina la kitabu....Ahsanteni sana
5 Reactions
119 Replies
22K Views
hajaingia MP hii siku ya nne tukajua tayar..ananambia tumbo linauma,anakojoa mara kwa mara..tukajua tumefanikisha😔😔😔
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake wa sekondari na kusema alishindwa kumsikiliza alipokuwa akifundisha darasani. Remy amesema alimchumbia Maombi Jeannette...
2 Reactions
2 Replies
877 Views
Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10. Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu...
14 Reactions
69 Replies
2K Views
Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa. Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu mmepigaje hapo siku ya leo? Hakika na kweli wanawake ni kiboko mamba akapige shule. zimepta siku 2 simu ya mwanamke wangu ipo kwa fundi wkt simu yake ipo kwa fundi nilichukua line yake...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo? Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Naamini kuna watu humu huwa wanaoana kimya kimya alafu ni member wenzetu tu, hapa na tupo nao kwa miaka mingi lakini mbona hatupeani mialiko ya harusi? Au wana jamiiforums huwa amuowagi au kuolewa
5 Reactions
17 Replies
608 Views
Kwakweli kwa hawa wafuatao lazma kondomu aka ndom ihusike i. Machangu-najua kuna watakaobeza kwanini mtu aende kwa changu. Lakn niwaambie tu hii ni vita, ashki zikishapanda uezi kujua utaangukia...
7 Reactions
249 Replies
20K Views
1. Ni Weupe 2. Ni Warefu 3. Ni Wanafungasha vzr 4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu) 5. Ni wacheshi balaa Nawapenda sana!! NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
26 Reactions
213 Replies
54K Views
Napenda kuwasihi wanajamii, kwa kuzingatia matukio ya wapendanao kudhuriana. *Napenda kuwashauri Wanandoa na Wapenzi, pale mmoja wa wapenzi anapomsaliti mwenzake, kufanya vurugu sio suluhu ni...
1 Reactions
2 Replies
498 Views
Wakuu naomba msaada wa maswali haya: Ndoa ya kimila ipi? Vigezo na masharti yake ni yapi? Anayefungisha ndoa hii ni nani? Wanandoa wa makabila tofauti wanafuata mila za nani? Je ndoa ya kimila...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Ndugu yenu nimenasa nimenasa hayawi hayawi sasa yamekuwa. Mwenzenu nimepata mtoto wa kutoka TANGA nimechelewa kuzijua raha za kidunia maana huyu mtoto. Ana wivu balaa anapiga simu muda wote...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa. Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake...
13 Reactions
38 Replies
1K Views
Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha. Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa. Ndiomana...
6 Reactions
13 Replies
610 Views
Back
Top Bottom