Nani anaikumbuka ladha ya mpenzi wake ambaye walishaachana mwaka mmoja uliopita? Tuache mwaka, ikiwa ulikuwa na mtu kisha ukakutana naye kimapenzi wiki iliyopita na baada ya hapo hamjakutana tena...
Kifupi ni kwamba mwaka 2001 Dada yangu wa pili alipatwa na uchizi mpaka sasa hivi ninavyowambia anasumbuka na uchizi.
Cha kushangaza anaweza kukaa wiki bila kula lakini nguvu anazokuwanazo ni za...
Wakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.
Jamaa anataka avute mazima aweke ndani ila ana wasiwasi huyo demu atamgeuka huko mbeleni maana demu hajakaa kizembezembe ni kama...
Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na...
Habari zenu wote hope mko poa sana.
Leo nawaletea kisa kimoja cha muda sana leo nimekikumbuka baada ya muhusika kunitafuta facebook na kusababisha nikumbuke mbali sana.
Nilikuwa mkoa wa dar...
Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie.
Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za...
Mungu na aisaidie jinsia ya kike.
Jana nilikuwa nimepigiwa simu kuna deal la laki 5 mjini na ilibidi niwahi ndani ya nusu saa niwe nimefika.
Nilikuwa nimevaa Haraka nawahi usafiri mara mke wangu...
Watu wengi wanaolalamika sana kuumizwa na mapenzi wengi wao walipuuzia red flags walizoonyeshwa mapema.
Jifunze kusoma Red Flags katika mapenzi itakusaidia sana kutoumizwa na mapenzi, na pia...
Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na...
Wale wa kale mtupishe kwanza msijeanza kung'ong'a na maneno yenu eti ooh haiwezekani kupata jiko (mke/mume) muruwa huku mitandaoni.
Tunawaambia kwa sauti kuu hilo linawezekana tena sana tu...
Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika...
Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi.
Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume.
Mkeo au mumeo hajabakwa...
Sikulazimishi kuoa, ila sio kuwa easily taken na maneno ya kiufundi ya mtandaoni bila ya kujua asili ya kweli ya huyo anaepost.
Hata hawa jamaa wa "Tafuta hela wewe" wengi unakuta wapo vijiweni...
Habari za Leo Wanajf,
Katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha...
Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.
Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu...
GiZA LAANZA KUTAWALA - 1
Matumizi ya nyaraka za vitambulisho na
umuhimu wa kushirikisha jamii katika kupambana na uhalifu.
Watu 17 walikufa ndani ya siku chache, na wengine 23 walijeruhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.