Ama kweli, dunia inakwenda kasi sana. Kimvutiacho mwanaume dhidi ya mwanamke ni Nyashi. (Kiuno fulani hivi mbudule cha Nyigo, matikiti kudondokeana yaliyododa na kugawanyika ipasavyo, bila kusahau...
WanaJf nipeni habari? Leo Nina swala Moja linalomhusu rafiki yangu ambaye wf aliondoka wiki iliyopita, aliondoka kumpa hi mzazi mwenza ambaye yasemekana alikuwa anaumwa.
Rafiki yangu anasema...
Hao wanaume wa kuchagua mbona hawaonekani? Waliopo mtaani ni hawa hawa akina Juma Hali Ngumu bin Full Ma-stress.
Halafu kibaya zaidi wanaopendwa ni walioishia la saba na form 4. Je, wazazi wote...
Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi.
Atashiriki katika nyakati zako...
Mnao kataa kuishi na mwanamke hamna mashiko, kataa ndoa hatukatai kuishi na mwanamke tunakataa mkataba wa ndoa ambao wanawake ndiyo wanaoutaka kwa hamu ili wapate uhalali wa kututwanga na...
Habari zenu wadau.
Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi.
Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu...
Mimi ni mwanaume miaka minne iliyopita nilipokuwa chuo ilitokea kukutana na demu mmoja ambaye yeye alikuwa ni demu wa mtaani tulikutana kwenye group la Whatsapp la porn baada ya hapo yeye...
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways...
Salamu, pesa ni nzuri kwa mwanamke. Na ni vizuri kumtunza mwanamke. Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.
Mwanamke mnafahamiana leo na anaanza...
HAKUNA DHULMA YA MILELE, ISIYO LIPWA.
‘Mwili uliolala milele hauwezi kuamka, lakini unaweza kuzungumza ukweli kuliko mwili unaoamka kila siku’ – Pragya Santra.
Kila nyumba ina stori yake, ndoto...
Ndugu zangu mimi ni kijana tuu, sijui shida iko wapi mpaka aniambie hivi.
Nimejitahidi sana kutunza hekima na busara zangu mbele zake na mbele ya jamii iliyotuzunguka kwa wakati huo, nimeongea...
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote...
Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa...
Mwaka 2020 June alifunga ndoa ya kidini katika kanisa la kisabato na binti wa umri wa miaka 20 yeye akiwa na 26.Mwaka mmoja baadae huyo mwanamke akapata ujauzito.
Akiwa kwenye ujauzito wa miezi 5...
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.
2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na...
By the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.
Ni hivi hali ya kuchepuka inategemeana sana na Mazingira, Ofisini, field n.k
Kwa sasa na amini hii ni nguvu ya asili!
Hali...
"Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani.
Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya...
Habari yako Miss Unique Flower , nikiwa kama moja ya Wanachama wa JamiiForums nachukua nafasi kukupa ushauri huu hapa jamvini. Soma huu Uzi mara nyingi uwezavyo ili kuleta mabadiriko ya afya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.