Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba. Credit: WasafiTv
3 Reactions
5 Replies
748 Views
Kwakweli mzazi yule nilishamsamehe ila sijawahi kumsahau kwa kupotea katika umri wote wa makuzi yangu. Halafu bila hata aibu siku ya harusi katokea![emoji15]
2 Reactions
9 Replies
528 Views
Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member. Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya...
3 Reactions
17 Replies
687 Views
Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻 Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Aisee kati ya kitu kinakera ni kukutana na mwanamke aliekeketwa. na inashangaza sana kuona kwamba bado kuna jamii zinazokeketa mpaka Leo hii. Hapa nilipo wanawake karibu wote...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Hawa majamaa zangu wanambwembe sana mix misifa ya kutosha utafikiri wana undugu na wakina Martin Lawrence. Sasa siku moja walinishtua tushuke maeneo ya sokomatola (kwa wenyeji wa mbeya wanakujua...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Utangulizi Nimekua nikisoma habari mbalimbali katika mitandao ya kijamii, katika Jambo ambalo linanipa maswali ni mabadiliko ya vigezo vya kuoa au kuolewa Wakati nikiwa kijana mdogo kuna maswali...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
How love selfishness and cheating can destroy entire family future[emoji174][emoji174][emoji174]
5 Reactions
10 Replies
453 Views
Habari zenu Kuna demu fulani hivi tabia zake zimenishtua, yaani yeye hapendi mapenzi ya taratibu, anapenda fujo kinoma, haswa kitandani. Ikifika muda wa sex yeye anataka fujo, hataki zile za...
11 Reactions
110 Replies
25K Views
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi" Sasa maisha yamekunyookea umejipata...
23 Reactions
44 Replies
3K Views
Wataalamu, Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana. Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya. Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day...
3 Reactions
11 Replies
685 Views
Mimi nimeanza ngono nikiwa na miaka 21 sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kutojichanganya na makundi yasiyofaa. Muda huo nilikuwa nashuhudia vijana wadogo zaidi yangu wakizichakata. Mwanamke wa...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Mahusiano ya kimapenzi ni sehemu nyeti sana ya maisha ya mwanadamu na ndipo sehemu kubwa ya Maisha hufanyika au ni muda mwingi huwa tunatumia katika kufanya maisha yetu. Kuna watu wanaopata...
6 Reactions
7 Replies
839 Views
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa. hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwema Wakuu!. Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat...
36 Reactions
101 Replies
4K Views
Mambo vipi wanajumuiya ya JF? Kwa mara nyingine tena niwaalike kwenye interview!! Leo mgeni ni mmoja tu! So naomba uchaji uwepo, Mgeni wetu leo ni lara 1 Mada: Mapenzi Na Pesa.. Naamini...
7 Reactions
236 Replies
19K Views
■ Kama umeenda kufanya mapenzi na mdada anekujua wewe ni tajiri, hakikisha ile kondomu mlio tumia usiache hata kwenye dustbin. Ichukue na uitupe chooni na ukiflash kabisa. Tofauti na hapo...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu tulifahamiana kwenye mitikasi ya utaftaji wa maisha, huyu rafiki yangu tumekua tunasaidiana mambo mengi sana. Kuna kipindi alipata tatizo kubwa sana alijitahidi kuomba msaada...
11 Reactions
113 Replies
10K Views
Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili nikiendelea kula kitabu na kufurahia maisha ya chuo bila stress na bata za chuo zikiendelea kama kawaida. Basi nilipanga mtaani kwenye nyumba ambayo...
10 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom