Waungwana,
Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku...
Jamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo
Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote...
Ni aibu na fedhea sana...
Inakera, inachefua na kusikitisha sana..
Inaamsha hasira sana, kuona au kuskia mtoto, ndugu, jamaa au rafiki wa familia amekumbwa na uchafu, unyama au uharibifu huu...
Wasalamu wana MMU
Mimi ni member wa jukwaa hili wa muda mrefu. Nimeamua kuja na ID hii mpya kwa ajili ya hili suala.
Mimi ni kijana chini ya miaka 38. Nimeo ila ndoa yangu imeingia kwenye...
Hello.
Ni nani aliye na Hizi tabia .
1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.
2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.
3. Ninafanya jambo...
wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au...
Za asubuhi
Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae...
Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi...
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi
Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo
Tatizo lilianzia pale ambapo...
Kwanza kabisa shukrani za dhati kabisa zimuendee maumba wa mbingu na ardhi..
Mimi ni mlinzi katika moja ya apartment zilizopo masaki Dar es Salaam, nilipata mafunzo yangu ya mgambo mkoani Pwani...
Before Mr Ibu died:
▪️first wife divorced him & took away his savings
▪️Second wife accused him of sleeping with daughter
▪️Consequently, he suffered diabetes
▪️Had blood clotting & dead blood...
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?
Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo?
Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia...
Mimi ni msichana pekee na mtoto wa mwisho kwenye familia yangu. Nina kaka zangu wawili ila wamenipita kidogo kiumri na siko karibu nao sana kwa sababu tokea nikiwa mdogo, huwa wananiona kama mtoto...
Ujumbe huu huwahusu zaidi wanawake ili kiwajengea stara kwa wenza wao na kiwapa moyo ili kutowatoa mchezoni, hasa kimawazo, wakati wa tendo.
Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta...
Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini...
Ndugu katika ujenzi wa taifa na umoja wetu wa Jf.
Ukipishana nao huku na huko utagundua macho yao yanalenga kwenye zipu zetu huku midomoni wakiwa na maneno matamu kusifia matango makubwa na...
Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje.
Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.