Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita. Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama huyu mtu angemfungulia mkewe mlango muda huu, (1:17am), hapo ningeamini ule msemo wa wanazengo kuwa kawekewa Limbwata Yaani mwanamke timamu, unamuacha mumeo saa nne usiku wakati tayari...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka . Sasa Nimeokoka , Je! Niwaache? Je Mkristo Kuwa na Wake Wengi Ni Dhambi? 💫💫💫💫💫 ©️ Mwl. Makungu Ms 0743781910 Suala la binadamu kuishi mfumo wa...
8 Reactions
102 Replies
5K Views
Mke kama huyu kwanza muda wa kutoka nyumbani kwenda mihangaikoni ukifika unaanza kuwaza unaondokaje? Mke kama huyu huwezi hata kucheat, ukitaka kucheat nafsi inakusuta na unaona kabisa...
4 Reactions
9 Replies
575 Views
Ni staili moja tamu sana na hii ni mahususi kwa wale wakina dada wenye visima. Yaani mwanaume unalala chali kama kawaida halafu demu anakuja kwa juu....ni kama vile anaikalia halafu anaweka nne...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kwakwel nimekumbana na Hilo swali kwa miaka saba sasa, na bado sina dalili ya kuoa kabisa. Mbaya zaidi wanaoongoza kuniuliza ni wake za watu, sasa sijui ni kwanini maana madem ambao...
9 Reactions
26 Replies
946 Views
Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Hawa age go munasemaga sijui third floor, wazee umri 27 kwenda juu hawana mtoto wala ndoa wanatafuta ndoa hata kwa kufosi mbona mimi siwaoni huku mtaani naona vitoto tu. Mimi nawatafuta sana ila...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakati ule nasoma chuo kikuu kulikuwa na uvumi kuwa watoto wa kike waishio na matumaini, maarufu kama watoto wa mama Salma walikuwa wamemwagwa vyuoni. Sasa leo tena nimemsikia konda wa dala dala...
10 Reactions
108 Replies
17K Views
  • Poll Poll
Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo! Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali...
10 Reactions
133 Replies
5K Views
Story short, I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children. Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Wajumbe hodiii.Bila kupoteza muda nichekeche mada. Kuna hili swala la kuishi karibu ex alooo ni jambo gumu sana hasa pale unapokuta hamjaachana kwa ugomvi,yaani usipocheck anytym chawezanuka(even...
4 Reactions
11 Replies
579 Views
Wazee hope mko poa... Hebu nipeni wazo hapa kuhusu huyu mwanangu (bro) aliyenibeba nakunileta mjini (kunisaidia). Huyu bro ni mtu ana wife wake ila hawana watoto. Ila wife wake tunaheshmiana...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Ubongo wa mwanamke ni kama vile one way traffic, hua hawawezi kuwaza across phenomenon hata mwanamke awe na madegree 10 hua hawana crosscuting thinking na ndio maana hata kubishana na mwanamke ni...
48 Reactions
100 Replies
9K Views
Hellow african, Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza...
23 Reactions
190 Replies
9K Views
Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio...
26 Reactions
261 Replies
6K Views
Nimepoteza hisia kwa mpenzi wangu, nimeshanga siwezi kupiga zaidi ya bao moja wakati kwingine narudi mechi mpaka anasema imetosha. Mwenyewe uzoefu karibu. Wale wazee waku uliza kama ana tako jibu...
5 Reactions
21 Replies
990 Views
Wakati naingia chuo kikuu 2007 niliaswa sana kuwa makini na ngono chuoni kutokana na uwepo wa mabinti wanaofadhiliwa na mama Salma Kikwete. Ilidaiwa kuwa mabinti hawa wapo karibia kila chuo na...
3 Reactions
59 Replies
11K Views
Back
Top Bottom