Wakuu nimekutana na hii habari njema kutoka kwa majirani zetu wa karibu kabisa
Hawa mila na tamaduni zao zingine si zinafanana tu na za kwetu hapa?
Tuna kitu cha kujifunza hapa.
*sosi...
Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi.
Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity.
Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua...
ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!!
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa.
Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi...
Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa.
Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya .
Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi...
Wasalamu.
Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma.
Ukienda kutambulishwa ukweni cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani.
Hawa wa kileo mnajuana...
Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha.
“Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa...
85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya...
Mambo vipi mdau wangu wa nguvu, nakushukuru kwa kutenga muda wako na kuwa msomaji mzuri wa makala zangu twende sawa usisahau kufollo ukurasa huu.
Leo tuangazie dalili ambazo huwa zinajitokeza...
Mengi hutokea kwenye ndoa, wala sina haja ya kuyataja hapa. Ukitoa uvumilivu, huruma ni muhimu sana kwa wana ndoa wote, mwanamke na mwanaume, kila mmoja awe na huruma na mwenzie.
Kwa njia hiyo...
Nimekaa na mke wa mtu nikampa dili kuna sehemu wanahitajika watu kazi ya kutwa data collection 25,000 kwa siku, project ya miezi 2, alichonijibu akasema yupo tayari tena akiipata hiyo kazi huyo...
Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla.
Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao...
Mdau kasema ukosefu wa Wanaume "Baba" kwenye malezi ya watoto wa kiume ndio kunapelekea vijana kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa.
Huyu ndio Mwanamke mwenye ujauzito wa Dogo
Nb...
Mkeo akizaa mtoto wa nje ya ndoa na akakiri kuwa ni kweli, huyo mtoto ni wa nje, usimfukuze.
Msamehe mke ila chunguza ni kwanini amezaa nje ya ndoa, ukishaijua sababu, basi ikabili hiyo sababu.
Chukua hiyo mtu wangu,
Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.